Ni mapema mno kusema Chid hatorudia zama zake hata kama angekuwa kazungukwa na malaika.
Addiction ni kitu kingine kabisa Mkuu siyo rahisi kama unavyodhani si methadone wala sober houses bali vita inayohitaji uthubutu wa mtu mwenyewe tena wa hali ya juu.
Tumpe muda at least mwaka.