Heaven man
Member
- Jun 13, 2016
- 93
- 10
Global wanatumia matatizo ya watu kutengeneza kipato so stupid guys
Kuna watu walemavu kwa ajali,kuzaliwa na wengine yatima na familia masikini kabisaaaa. Tuwasaidie hao ambao hawajajiyakia ila huyo alienda mwenyewe kwa pusha apewe kijiti so aachwe ili wengine wajifunze kupitia kwake.M ntaanza NA maombi...kwavideo niloona tunakazi mbelekubwa kumkomboa kubwasana lakini tusikate yatamaa..wenye instagram mnaweza search globapublishers AMA obbytheng mtamwona anavyochopolewa NA poliisi usiku mawindoni
Nani aliwatuma kutumia hayo madawa???Nadhani huelewi maana halisi ya 'addiction'. Mtu ambaye yupo addicted hayo mawazo kama yako inakuwa magumu kuyapata. Anaweza akawa ana nia lakini nia pekee itafeli. Hawa watu wanahitaji msaada ili watoke kwenye mtego wa addiction. Wanahitaji uangalizi wa hali ya juu, mwenyewe hawezi.
Na njia kuu ya kuwasaidia watu kama Ray C na mateja wengine ni kupambana na wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya pamoja na wasambazaji wao.
Nimeongea kwa ujumla wakeUmeiona hiyo video kwanza?
Ray C mwenyewe anamwambia cameraman kuwa hirushe hiyo video!!
Hapa mjini ndg kila mbuzi hula kwa urefu wa Kamba, utatukana sana.
Yule hakuwa mume bali hawara.Mume ndiye aliyemfikisha hapo.
Naunga mkono hoja.Apatikane mwamamume mmoja wa kumtuliza.Labda akipata Mume anaweza kutulia, nadhani hiyo ndiyo njia pekee iliyobaki ya kumsaidia
Mapema sana kusema chidi karecoverDUH kweli yanaenda kasi alikuwa anamtafuta CHID BENZ amasaidie kuacha unga leo yy ndio kapotea mazima wkt Chid ka recover!
Mkuu akiwekwa selo na menyu safi atayapata tena hyo ni kumpotezea afe tu maana hakuna namna yeye kama nani abembelezwe hivyo?Kupambana na wafanya biashara wakubwa aise..
Halafu najiuliza hivi akichukuliwa akawekwa selo miaka mitatu akawa anakula menyu safi huku hakuna cha dawa wala nini hatapona??