Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Zuchu asizubae, wakati wake ndio huu...akianza 'kujitegemea' na yeye..she will be treated the same way as Rayvanny did
 
Exactly, Unasainishwa Mkataba Wa Miaka 10 Mgawanyo Wa Faida Ni 70% Kwa Kampuni 30% Kwa Msanii [emoji4]
Hapana ni 60/40 ... Ni fair ratio , sema Sisi wabongo ukishaanza kuingiza unaona kama boss anazingua , anakunyonya , hujui pesa alizowekeza mpak anakufikisha hapo, make alikuwa anacheza kamali , tushukru umetusua habari gani kama ungeflop.. hasara ingemwangukia Nan....!!!
 
Mtu ukiondoka kiusalama tu basi ..
Usidhani ukiondoka na mabifu sio fresh .
 
Sure jamaa hajiongezi kabisa ....yan yuko label kubwa lakini kina Jay melody na Ibra wa konde gang wanamkimbiza
Jamaa mbona anatoa hit na zinaenda sana kama vile Gogaga, Niuwe, Anatosha, kilio, Dede, na ile Bora tuachane mbona zilienda sana wazee mitaani zilipigwa kama mbege ya mmarango vipi nyie huko kwenu hamkucheza Gogaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…