Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Zuchu asizubae, wakati wake ndio huu...akianza 'kujitegemea' na yeye..she will be treated the same way as Rayvanny didVanny kasepa wasafi mda Sana , mwaka umepita sasa , na kaondoka kiroho safi tuuu, zilizofanyika ni hatuna tuu ili isilete mzozo, hyo ya kutopata support kama wasanii wengine ni lazima iwepo mana siyo part of the family , mtoto akijitegemea mzazi hawezi mhangaikia Sawa Sawa na watoto wengine waliopo home ....!!