Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Ruge hamkumtetea hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama yupo hai inatosha.

Maisha siyo lazima kuwa Wasafi.
 
Ruge hamkumtetea hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ruge hakuweka hata shilingi kumi kwa Mondi, Mondi akiendaga THT akafukuzwa na kuambiwa hajui kuimba, aliyewekeza hela yake ni papa Misifa na Mondi alipofunja mkataba kwa mujibu wa Papa Misifa alimlipa 50mil kama faini ya kuvunja mkataba.

Huusiano wa Diamond na Ruge ni kama Msanii na promota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…