Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

Uchawa ukizidi ni shidaa !!
 
Kweli !
 
Ushasema uhuru wa kujieleza. Kwani remote haiko msoga?
Angalia Riz sasa waziri, Makamba amerudi, Nape ndo usiseme. Kenge wote aliokuwa amewakong'ota Magu wamerudi. Ona kinana msomali anavyotesa wakati ni wabaguzi wa kunuka. Wapo wengi tu wanaopigiwa chepuo na msogangang iliyoanzisha kiini mato kiitwacho sukumagang.
 
Si mlisema Magufuli amezuia uhuru wa kuongea acheni watu waongee sasahivi
 
Hiyo ni tafsiri yako. Ila yeye hakumtaja mtu jina.
 
Kwani kuna sehemu amemtaja Raisi humo kwenye huo wimbo🤔🤔 tatizo ameongea ukweli na viongozi wa kiafrika hawapendi kuambiwa ukweli
 
  • Je maneno haya uliyoyaabdika yapo kwenye wimbo husika "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).". Ningerudia kuusikiliza tena wimbo husika, na sijasikia uliyoyaandika.
  • Kwa maoni yangu wewe ni mchonganishi baina ya serikali na raia.
  • Unaweza kuta Mh. Raisi anaukubali huu wimbo, Ila chawa sasa wahamasisha Roma asagiwe kunguni.
  • Njaa mbaya sana, mbaya zaidi chuki ikitawala
 
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Rejea hotuba ya Kikwete siku ya Msiba wa JPM Kuna kitu utanielewa
 
Nyie ndiyo acheni kumdhalilisha huyu mama, Rais wenu..

After all, she hasn't complained anyway, anyhow. Therefore what's exactly wrong with you..??

Hakuna tusi lolote katika wimbo na kwa ujumla haileweki ni kitu gani kimewapanikisha watu wa dizaini yako wewe Mkunazi Njiwa na mwenzako Desprospero

Au na nyinyi ndo mnatengeneza mazingira kuja kuanza kulinda legacy ya mama yenu hivi??
 

Kichaa wewe
 
Hajataja jina la Rais Wala jina la Rais mstaafu,kitu gani kinakuuma?
 
Tueleze kwanza huko kisutu mashtaka yatakua ni nini?anachekewa na nani?amevuka mpaka ipi?

Acha uboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…