Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mimi kinachonishangaza ni imekuaje ameomba mzigo wa rubby sio wa kajala, the guy could literally f*uck any beautiful woman in DarMimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
Wanawake bhana. Nimeshangaa sana kuona analalamika. Sema inaonekana afya yake ya akili imeyumba kidogo anahitaji msaada upande huoAlikuwa anataka kumchuna ampelekee Kusah Helaπ€£π€£π€£ Majay akastuka
Kwa kweli apimwe afya hakuna namnaWanawake bhana. Nimeshangaa sana kuona analalamika. Sema inaonekana afya yake ya akili imeyumba kidogo anahitaji msaada upande huo
Mjaa asili haachi asili ππ, Ila ajicontrol kidogoAndika kifupi:Aache mdomo mrefu......mtu gani alimchamba Hadi bibi wa mjukuu wake,!alikuwa na sababu gani za kumchamba mama yake Kusah?huyu anachambachamba watu hovyo hiyo itamcost........
Shukrani ππ½Ume balance vizuri
Alishasema lady jay dee kuwa bongo flava bila kutoa mchezo ni ngumu kwa binti kutoboa.Very True kabisa... Ndio maana wanawake wachache sana wanaoweza kudumu kwenye Muziki.... Zuchu mwenyewe kila siku kutoa mchezo kwa Diamond.
Mtu kuomgea kwanza haimfanyi kuwa mkweli, na haimaanishi ambaye hajaongea kweli katenda kosa.Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841
Yeye alimpa nani?Alishasema lady jay dee kuwa bongo flava bila kutoa mchezo ni ngumu kwa binti kutoboa.
Ilianzia kwa Ruge. Alimsema sana Ruge kila baya alilisema mpk akadai Nandy anapaishwa ili wamzime yeye. Sasa Ruge hayupo kahamia kwa Majjizo
Kweli kuna kitu hakiko sawa kwake. Hivi mie mbona nina ngome kibao kali za Naija na sijawahi kusikiliza radio stations zao hata siku moja. Hana ngoma kali ajipange apitie digital platforms kama kweli ni mkali atatoboa na media zitamtafuta zenyewe
Yeye alimpa nani?
Cool broo!!True, media ni "Roman Circus" inatuzubaisha tuu.
Wakifanya mambo ya kijinga wana mwambie diamond atoe nyimbo ili kupunguza awareness ya watu.
Hii ya Kora nakumbuka tena South Africa π€£Unanifanya niwe mdaku ππ
Watu walimshukia kuwa hata yeye kuna rumours kuwa kwenye tuzo za Kora kwa madiba, alilala hotel room moja na ruge.
Japo watu kama Ray C washatoka mbele na kukiri kutoka na jamaa so, kuna kaukweli
Linanichanganya[emoji23]
[emoji23][emoji23]
Don't worry mama
Huu upambe hauna kitu huu[emoji23][emoji23]
Ukiwa free please let me know
Kapuku tu[emoji23]
Kumbe unakumbuka Ila unajizima data ππHii ya Kora nakumbuka tena South Africa π€£