Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
- Thread starter
- #421
Wanaume tunatabia ya kusukumiana wanawake, Boss akishakula anamshikishia na Rafiki yake naye ale... Ndio maana unakuta mastaa wa kike wanaliwa na mabosi wale wale...[emoji23][emoji23] Wanaoomba nyuchi wapo kirundo na mwanamke bila kuwa makini utashangaa umetoka na timu za mpira za mafungu.