Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Wanaume baadhi wakiwa na pesa pia tittle kubwa kuwatumia kingono wanawake walio chini yao wanaona kawaida...
Na hiyo rushwa huombwi mara moja,likija hili leta kipochi,likija lile leta kipochi ni muendelezo mwisho unakuwa sex slave wake ili usurvive.

Na mbaya zaidi hata hawa wanoongea unakuta hawana ushahidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu kina kaka,Epuka kuanza mahusiano na mwanamke ambae hata simu ya mkononi hana.Huyo ni kiashiria kwamba ni mwanamke asiye mtafutaji.
Pia kama simu yake ni mbovu ni kiashiria kua maisha yake ni magumu na atakuchuna sana.
Tukijaaliwa kupeleka mkono kinywani tusiwadhihaki na kuwadharau wale waliolala njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu kina kaka,Epuka kuanza mahusiano na mwanamke ambae hata simu ya mkononi hana.Huyo ni kiashiria kwamba ni mwanamke asiye mtafutaji.
Pia kama simu yake ni mbovu ni kiashiria kua maisha yake ni magumu na atakuchuna sana.

Kama kuna mdada huku kakataliwa kwa ajili ya simu na ana ushahidi aje inbox apate laki 1 ya simu.
 
Back
Top Bottom