Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Salamu kina kaka,Epuka kuanza mahusiano na mwanamke ambae hata simu ya mkononi hana.Huyo ni kiashiria kwamba ni mwanamke asiye mtafutaji.
Pia kama simu yake ni mbovu ni kiashiria kua maisha yake ni magumu na atakuchuna sana.
Inategemea yupo katika phase gani ya maisha kusema hivyo unakua too general.
 
Ukiona anayo simu ujue tayari kuna ambaye amemnunulia so Usifikiri kila anayekula anatafuta ili ale wengine wanaliwa ili wale.OVA
 
Back
Top Bottom