Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Ni hakuna mwanaume ambaye hajawahi kuomba mzigo kwa kutumia nafasi yake hata kama ni ndogo kiasi gani.
Yaani ukishakuwa mwanaume hata vivulana vidogo vitatumia mwanya hata wa bomba la maji ulilowaachia pale nyumbani kuombea mzigo.
Utasikia uwe unachota bure kila siku ila na wewe jiongeze.

Shida ndugu zetu wadada huwa wanatafsiri tofauti.
Utakuta ulikuwa unampa lifti kila siku, ukiomba mzigo tu shida. Anaenda kukutangaza kwamba kisa ki-IST chako unamwomba mzigo.
 
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry . Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha mziki Kabisa . Currently ruby Anasema Tena . The same things . Same person yupo accused . Sasa Till when tutachukua hatua hata kumuoji ? Why ? What measures anachukua on his company?? Why just him ?! Watu wanamuangalia tu ?!!
Washitaki rasmi ndipo hatuwa za kisheria zinaweza kuchukuliwa, la sivyo inabaki kuwa ni udaku tu.
 
Vanessa na Ruby wote walikua wana madepression ya mahusiano na wanaume zao wa Dar waliokosa future kazi kulamba lips tu,

Vee akadondokewa na bahati ya mtende, sasa mwenzangu na mie Ruby kazi anayo.
You think, Vanessa mdee was well connected .she didn’t have to say that . Unless he was serious & wanted to marry Vanessa she said no . Which I could agree . Shule na media experience ipo pale . Lulu is a useless wife .
 
Ni hakuna mwanaume ambaye hajawahi kuomba mzigo kwa kutumia nafasi yake hata kama ni ndogo kiasi gani.
Yaani ukishakuwa mwanaume hata vivulana vidogo vitatumia mwanya hata wa bomba la maji ulilowaachia pale nyumbani kuombea mzigo.
Utasikia uwe unachota bure kila siku ila na wewe jiongeze.

Shida ndugu zetu wadada huwa wanatafsiri tofauti.
Utakuta ulikuwa unampa lifti kila siku, ukiomba mzigo tu shida. Anaenda kukutangaza kwamba kisa ki-IST chako unamwomba mzigo.
Go for a date , ask her properly
 
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry . Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha mziki Kabisa . Currently ruby Anasema Tena . The same things . Same person yupo accused . Sasa Till when tutachukua hatua hata kumuoji ? Why ? What measures anachukua on his company?? Why just him ?! Watu wanamuangalia tu ?!!
Nani achukue hatua wapi who is clean when unyanyasaji
 
Kampuni ni yake ana haki ya kuiendesha anavyotaka hakuna wa kumpangia. Ile sio ofisi ya serikali kusema anawazuia watanzania kufanya nae kazi.

Kama kaomba gemu (hajatumia nguvu yaani kubaka) then demu ana haki ya kukubali au kuchomoa sio lazima. Ila ulalamishi waache.

Tunawaambia kila siku hapa Dunia au ulimwengu una mambo yake, the only safe space ambayo mwanamke una guarantee ya kupewa attention na care ni kwenye familia ya wazazi wako au kwenye familia yako ya ndoa. Huku nje usitegemee any special treatments as if anybody owes you special treatments.

Waache kulalamika wachague kupigwa mashine then wapate wanachoomba au wapite hivi. Wanaume wanazinguliwa kila siku na walishalalamika nao ila wameamua kukubali.

Mliyasikia pale clouds Media why mshangae kwa majizo. Yaani mtu ajenge empire lake wewe mtoto wa kike uende kirahisi rahisi akubebe utoboe ujenge maisha yako yeye asipate chochote, how is that benefits both sides?
 
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry . Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha mziki Kabisa . Currently ruby Anasema Tena . The same things . Same person yupo accused . Sasa Till when tutachukua hatua hata kumuoji ? Why ? What measures anachukua on his company?? Why just him ?! Watu wanamuangalia tu ?!!
Rushwa ya ngono Tanzania ni sifa njema kibongo bongo, ingekuwa majuu jamaa angekuwa nyavuni akinyea ndoo
 
Ni hakuna mwanaume ambaye hajawahi kuomba mzigo kwa kutumia nafasi yake hata kama ni ndogo kiasi gani.
Yaani ukishakuwa mwanaume hata vivulana vidogo vitatumia mwanya hata wa bomba la maji ulilowaachia pale nyumbani kuombea mzigo.
Utasikia uwe unachota bure kila siku ila na wewe jiongeze.

Shida ndugu zetu wadada huwa wanatafsiri tofauti.
Utakuta ulikuwa unampa lifti kila siku, ukiomba mzigo tu shida. Anaenda kukutangaza kwamba kisa ki-IST chako unamwomba mzigo.
Tatizo mabinti wanataka wapate treatments za ndoa kutoka kwa wanaume ambao sio wao. Mtu anakupaje lift tu kizembe?

Haya mambo tunayatazama kimagharibi sana maana kule hata ukimpigia mluzi mwanamke unaambie sexual harassment na unaweza shangaa unakesi ya ukijibu, huo ufala unaletaje Africa na mataifa mengine nani atakuunga mkono.
 
Kampuni ni yake ana haki ya kuiendesha anavyotaka hakuna wa kumpangia. Ile sio ofisi ya serikali kusema anawazuia watanzania kufanya nae kazi.

Kama kaomba gemu (hajatumia nguvu yaani kubaka) then demu ana haki ya kukubali au kuchomoa sio lazima. Ila ulalamishi waache.

Tunawaambia kila siku hapa Dunia au ulimwengu una mambo yake, the only safe space ambayo mwanamke una guarantee ya kupewa attention na care ni kwenye familia ya wazazi wako au kwenye familia yako ya ndoa. Huku nje usitegemee any special treatments as if anybody owes you special treatments.

Waache kulalamika wachague kupigwa mashine then wapate wanachoomba au wapite hivi. Wanaume wanazinguliwa kila siku na walishalalamika nao ila wameamua kukubali.

Mliyasikia pale clouds Media why mshangae kwa majizo. Yaani mtu ajenge empire lake wewe mtoto wa kike uende kirahisi rahisi akubebe utoboe ujenge maisha yako yeye asipate chochote, how is that benefits both sides?
Andiko lako umeliremba sana na linavutia kusona lakini ni upuuzi mtupu.

Sheria haichagui rushwa ya ngono ilifanyika ofisi za umma au binafsi, kama hiyo sheria ipo weka vifungu hapa.

Hata kama kampuni ni yake, sio lazima aombe ngono kama kigezo cha kutoa huduma bali anaweza kuingia nao mkataba kuwa msanii akisaidiwa na akaanza kuuza mapato yake watagawana kwa asilimia ili kampuni ifaidike.
 
Back
Top Bottom