Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Hatuwa [emoji777]

Hatua [emoji736]

Hizo shule ulienda kusomea ujinga?
 
Twende mbele turudi nyuma.
Karne hii nani hana simu? Achana na wanafunzi and the like.

We binafsi Ushawahi meet mtu hana simu??

Nilisoma tu title.
Wanazo ila sio za malengo yao,nani hapend Samsung au I Phonez
 
Majizzo kama angekua serious kumtaka Vee angembeba mchana kweupee, ila Majizzo alizama kwa Lulu na hao wadada kama walipitiwa na Majizzo waliamini wao ndio wangekua mama mijengo matokeo yake jamaa akakomaa na useless wife wake hadi leo.
Aiseee!!
 
Kwa hiyo vanessa aliacha mziki kisa majizzo? Sidhani kama hii ni kweli maana still alikuwa na backup ya media kibao, clouds, wasafi hata EA.
vannesa alitaja sababu nyingi zilizomfanya kuacha mziki ila rushwa ya ngono ni sababu kubwa iliomfanya aache ,hata mwanamuziki diamond aliwahi kusema hata penda mtotowake wa kike asifanye muziki kwa sababu hizo [emoji848]kunatatizo hapo hata ruby anaweza akawa sahihi ila watz wengi wanamchukulia kama mkorofi.
 
Hii ni tabia ya wengi sana mjini, kuna thead moja nimewahi kuona humu ya Dada fulani aliyeambukuzwa VVU na Mwalimu wake ili amtafutie kazi taasisi fulani ya serikali na kweli alipata, kwa ajili hiyo tuseme rushwa ya ngono ni kubwa sana nchi hii, na hili la Ruby ni kwa vile hakumpenda tu.
Rushwa ya ngono imekuwa kitu cha kawaida nchini kwakuwa wanawake wengi wanaipenda. Mabinti wengi hawajiamini.

Wengi wanaamini hata kama wana sifa zote, ila miili yao ni sifa ya ziada. Pia kuna wanaoamini hata kama hawana sifa, sehemu zao za siri ni sifa tosha.

Niliwahi kusema humu, rushwa ya ngono haiwezi kupungua wala kuisha kwakuwa inafurahiwa na pande zote mbili.

vannesa alitaja sababu nyingi zilizomfanya kuacha mziki ila rushwa ya ngono ni sababu kubwa iliomfanya aache ,hata mwanamuziki diamond aliwahi kusema hata penda mtotowake wa kike asifanye muziki kwa sababu hizo [emoji848]kunatatizo hapo hata ruby anaweza akawa sahihi ila watz wengi wanamchukulia kama mkorofi.
yeye si katongozwa ni hiyari yake kukubali au kukataa sasa kakataa jamaa kamlia buyu yeye anaanza kuhusisha na media zake kama vipi afungue radio na TV yake.au anauchukulia poa uwekezaji wa jamaa kavuja jasho sasa nae avue
 
Rushwa ya ngono imekuwa kitu cha kawaida nchini kwakuwa wanawake wengi wanaipenda. Mabinti wengi hawajiamini.

Wengi wanaamini hata kama wana sifa zote, ila miili yao ni sifa ya ziada. Pia kuna wanaoamini hata kama hawana sifa, sehemu zao za siri ni sifa tosha.

Niliwahi kusema humu, rushwa ya ngono haiwezi kupungua wala kuisha kwakuwa inafurahiwa na pande zote mbili.

Hakika umeongea ukweli halisi.
 
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry . Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha mziki Kabisa . Currently ruby Anasema Tena . The same things . Same person yupo accused . Sasa Till when tutachukua hatua hata kumuoji ? Why ? What measures anachukua on his company?? Why just him ?! Watu wanamuangalia tu ?!!

Kwani tuhuma za ngono kwa ruby si ilikuwa kule mawinguni kabla ya jamaa yule kufariki imeibuka tena upande wa pili?
 
yeye si katongozwa ni hiyari yake kukubali au kukataa sasa kakataa jamaa kamlia buyu yeye anaanza kuhusisha na media zake kama vipi afungue radio na TV yake.au anauchukulia poa uwekezaji wa jamaa kavuja jasho sasa nae avue
kwanini linakuja kuwa tatizo kwa mtu kama yeye ma jizzo?ile tv na redio ni vyake lakini vinahudumia jamii na ruby kipaji ni chake lakini kinaifurahisha jamii hiyo hiyo je hana haki ya kumtongoza mwanamuziki?jibu ni anahaki swali linakuja akikataliwa anaweza akawana moyo wa kuendelea kumsaidia huyo aliemkatalia?kwa kawaida lazima atalipa kisasi je huoni tatizo kubwa ndo litaanzia hapo?
 
Ushahidi uko wapi, Ruby nae havutii kabisa, suraless, figureless, takoless au anataka kumsingizia Majizzo ndio chanzo cha muziki wake kufa, huko ni kuchafuana tu
 
Music Industry Duniani kote imeozaaaa, sio Tz tena naweza sema Tz bado hatujafikia uozo wa huko Duniani... kwa watoto wa kike wanatumika sana kingono na ndio sababu wasanii wa kike ni wachache kulinganisha na wakiume, Rihanna aliliwa na Jay Z hadi kufika hapo alipo, Beyonce aliliwa na Jay Z hadi kufika hapo alipo, Mariah Carey na Celine Dion waliolewa na Maboss zao, wakina Whitney na Britney walipata chronic depression sababu ya Music....

Kwa watoto wa kiume kama lege lege kugeuzwa ni dakika 0 tu, kuna washenzi wanawekeza pesa zao lakini sasa wasanii wanazilipa kwa kuuza utu wao, Michael Jackson na umaarufu wake wote alipatwa na depression, Justin Bieber hadi leo hajarecover, Eminem alipatwa na depression pia, ndio tujue kiwanda cha muziki duniani ni kichaka cha kila aina ya uovu kama mtu hawezi kuhimili asijaribu kwenda au kumpeleka mpendwa wake.
 
Back
Top Bottom