Ukiwa boss ukamuomba mwanamke mzigo..anasema rushwa ya ngono...
Akiombwa na maskini mwenzake ama kilaza anaona sawa.
Ila akiombwa mzigo na bosi anakuwa anatumika kingono.
Bosi hana haki ya kuomba mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa boss ukamuomba mwanamke mzigo..anasema rushwa ya ngono...
Alikua anatafuta huruma ili atoe wimbo wake, sasa tuone ukitrend sio kujisononesha halafu unatoa boko.... binafsi tangu wimbo wake wa Moyo wangu tembea na yule sina wimbo wa Ruby ninaoujua.... kweli ana vocal nzuri ila sasa kuna sehemu amekwama na hiyo sehemu ndio anapaswa airekebishe na sio kusema habari za ngono.Mi nachojua hili jambo linakera sana na km hujawahi hata kuflirt na mwanaume mnyanyasaji utamchukulia hatu thabiti km kumshitaki kumfanyia figisu apoteze kibarua ama kumpuuza,, lakini kitendo cha kuishi nalo miaka nenda rudi baada ya kufungiwa vioo na kutopokelewa simu yake ndo kaona alinyanyaswa,, huu ni uhuni
Na wanawake tuko vizuri kwenye manipulation ndo hiki anachofanya Ruby
Naunga mkono hojaLisemwalo lipo. Mjini hakuna masaad wa bure
Naunga mkono hojaAlikua anatafuta huruma ili atoe wimbo wake, sasa tuone ukitrend sio kujisononesha halafu unatoa boko.... binafsi tangu wimbo wake wa Moyo wangu tembea na yule sina wimbo wa Ruby ninaoujua.... kweli ana vocal nzuri ila sasa kuna sehemu amekwama na hiyo sehemu ndio anapaswa airekebishe na sio kusema habari za ngono.
Kama utakumbuka kuna kipindi alianza kua karibu na Mondi hadi zikaja tetesi anataka kusajiliwa Wasafi, ghafla akaja na gazeti kua Kusah anampiga na kumnyanyasa eti anamuhisi anatembea na Mondi, ndio ukawa mwanzo na mwisho wa ukaribu wake na Mondi.... you can imagine.
Ana wakili mzuri lakini huyuuu!???Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841
Huyu ni attention seeker, uzuri mazingira hayo karibia asilimia kubwa ya wanawake tunakutana nayo, ile attention aliyopewa wakati ule majizo anamtongoza ndo anayoitaka mpaka saiv sasa kapotezewa ndo maumivu yake hayo,, hii wanawake kama una akili ndogo inatusumbuaga sana kihisia unahisi kudharaulika na kukosa thamaniAlikua anatafuta huruma ili atoe wimbo wake, sasa tuone ukitrend sio kujisononesha halafu unatoa boko.... binafsi tangu wimbo wake wa Moyo wangu tembea na yule sina wimbo wa Ruby ninaoujua.... kweli ana vocal nzuri ila sasa kuna sehemu amekwama na hiyo sehemu ndio anapaswa airekebishe na sio kusema habari za ngono.
Kama utakumbuka kuna kipindi alianza kua karibu na Mondi hadi zikaja tetesi anataka kusajiliwa Wasafi, ghafla akaja na gazeti kua Kusah anampiga na kumnyanyasa eti anamuhisi anatembea na Mondi, ndio ukawa mwanzo na mwisho wa ukaribu wake na Mondi.... you can imagine.
Mzee wa the storm is over alikua na tuition ya kufundisha muziki watoto wa kike. Aisee ukisoma kesi zake huko mahakamani hutamani kusikia muziki aisee. Aliyah ni mmoja wa wahanga.Kuna movie moja nimeisahau jina, inaelezea maisha ya binti alikua muimbaji, mama ake akampeleka kwenye kampuni kubwa baada ya majaribio akapita, kivumbi kikaja wakaanza kumcontrol kuanzia uvaaji, aina ya marafiki, na vitu kibao, akawa anapigishwa picha za uchi ili ziwekwe kwenye makava, ndio kujua kumbe wakina Riri na Bey yale mapicha ya uchi sio kama walikua wanapenda ila ni maelekezo ya wadau, mfano mzuri hata Zuchu alivyoanza alikua anavaa kwa stara siku hizi ni uchi tu, sasa pale ndio utu unapovuliwa na kujiona hana thamani, mawazo yanamjaa na kupata depression,
Good Girl gone Bad.
Upo sahihi kabisa, waliosema Mziki ni Shetani wala hawakukosea.... sie wanatuburudisha tu ila wenyewe wanapitia kwenye makaa ya moto, inasikitisha lakini sasa ndio Dunia hakuna cha kubadilisha.Mzee wa the storm is over alikua na tuition ya kufundisha muziki watoto wa kike. Aisee ukisoma kesi zake huko mahakamani hutamani kusikia muziki aisee. Aliyah ni mmoja wa wahanga.
Lucifer ndo alikua mkuu wa uimbaji hata baada ya kua Devil bado karama hiyo anayo na anatumia hiyo kila sehemu hadi kwenye nyumba za ibada ili kuvuna watu. Music ni lugha ya dunia. Music ndugu zake ni ngono, ulevi, majisifu, utupu, migogoro, na unyama.
Yuko dada mmoja muimba Gospel, black beauty na kishundu cha haja, na ni mke wa mtu lakini mzee wa......amefanya yake na kuleta madhara kwenye ndoa ya Muimbaji.
Nadhani pia kila Media inamuogopa amejihisi mpweke sababu kila mtu anasem Ruby ana attitude mbaya sana, hana adabu hata kidogo na ngumu kumuhandle.... ana ego sio ya karne hii.Huyu ni attention seeker, uzuri mazingira hayo karibia asilimia kubwa ya wanawake tunakutana nayo, ile attention aliyopewa wakati ule majizo anamtongoza ndo anayoitaka mpaka saiv sasa kapotezewa ndo maumivu yake hayo,, hii wanawake kama una akili ndogo inatusumbuaga sana kihisia unahisi kudharaulika na kukosa thamani
Ana Shida kubwa aisee.. kuubwa.She is a real psycho...
Muziki umemkataa, aangalie mambo mengine tu.
Aende kwa Mwasiti apewe somo
Wasipoombwa watadai HAISIMAMI! Tukiomba rushwa?!Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841
Ndo anazidi kujiharibia, aliondoka clouds kwa makelele jizo akampokea acha waumane watajijuNadhani pia kila Media inamuogopa amejihisi mpweke sababu kila mtu anasem Ruby ana attitude mbaya sana, hana adabu hata kidogo na ngumu kumuhandle.... ana ego sio ya karne hii.
Kiukweli watakua wanatakwa Sana hawa wadada,kama mimi tu,Pipi nilikua namtamani vile,je kweli maboss wa kibongo wamuache kweli?Vanessa Mdee alishawahi kulalamika kuwa wasanii wa kike ni ngumu mno kutoboa kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo kwenye tasnia ya muziki. Imagine mtu kama Lina Sanga kuna yule binti anaitwa Pipi alikuwa na sauti nzuri sans lakini aliacha kuimba. Hata Angela wa Harmonize figisu ni nyingi kwa mabinti. Vanessa hataki tena kusikia habari ya muziki wa bongo na alikuwa na talent kubwa.
Weweee kitu inabana utarudi tu hata kwa machale..maana sikuiz mifuko ya rambo ni kibaodemu yeyote mzuri hata kama ni fuko la rambo unaridhika tu na huo uzuri wake. Kuna mademu ni wabaya sura hazina mvuto mashine zao ni nzuri zinabana, ukimaliza kuchakata tu hutaki kurudia tena na unajutia imekuaje mpaka umchakate? Kumbe ilikuwa ni pozeo tu
Mtu wa Tanga huyo.Uyu ruby sio mkurya kweli,hii sio sampuli za kina commando jide na kina bhoke[emoji3][emoji3]maana mademu WA kikurya uwa hawataki miyeyusho naskia