Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Mi nachojua hili jambo linakera sana na km hujawahi hata kuflirt na mwanaume mnyanyasaji utamchukulia hatu thabiti km kumshitaki kumfanyia figisu apoteze kibarua ama kumpuuza,, lakini kitendo cha kuishi nalo miaka nenda rudi baada ya kufungiwa vioo na kutopokelewa simu yake ndo kaona alinyanyaswa,, huu ni uhuni

Na wanawake tuko vizuri kwenye manipulation ndo hiki anachofanya Ruby
Alikua anatafuta huruma ili atoe wimbo wake, sasa tuone ukitrend sio kujisononesha halafu unatoa boko.... binafsi tangu wimbo wake wa Moyo wangu tembea na yule sina wimbo wa Ruby ninaoujua.... kweli ana vocal nzuri ila sasa kuna sehemu amekwama na hiyo sehemu ndio anapaswa airekebishe na sio kusema habari za ngono.

Kama utakumbuka kuna kipindi alianza kua karibu na Mondi hadi zikaja tetesi anataka kusajiliwa Wasafi, ghafla akaja na gazeti kua Kusah anampiga na kumnyanyasa eti anamuhisi anatembea na Mondi, ndio ukawa mwanzo na mwisho wa ukaribu wake na Mondi.... you can imagine.
 
Naunga mkono hoja
 
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.

Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".

Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.

Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841
Ana wakili mzuri lakini huyuuu!???
 
Huyu ni attention seeker, uzuri mazingira hayo karibia asilimia kubwa ya wanawake tunakutana nayo, ile attention aliyopewa wakati ule majizo anamtongoza ndo anayoitaka mpaka saiv sasa kapotezewa ndo maumivu yake hayo,, hii wanawake kama una akili ndogo inatusumbuaga sana kihisia unahisi kudharaulika na kukosa thamani
 
Kuna movie moja nimeisahau jina, inaelezea maisha ya binti alikua muimbaji, mama ake akampeleka kwenye kampuni kubwa baada ya majaribio akapita, kivumbi kikaja wakaanza kumcontrol kuanzia uvaaji, aina ya marafiki, na vitu kibao, akawa anapigishwa picha za uchi ili ziwekwe kwenye makava, ndio kujua kumbe wakina Riri na Bey yale mapicha ya uchi sio kama walikua wanapenda ila ni maelekezo ya wadau, mfano mzuri hata Zuchu alivyoanza alikua anavaa kwa stara siku hizi ni uchi tu, sasa pale ndio utu unapovuliwa na kujiona hana thamani, mawazo yanamjaa na kupata depression,

Good Girl gone Bad.
Mzee wa the storm is over alikua na tuition ya kufundisha muziki watoto wa kike. Aisee ukisoma kesi zake huko mahakamani hutamani kusikia muziki aisee. Aliyah ni mmoja wa wahanga.

Lucifer ndo alikua mkuu wa uimbaji hata baada ya kua Devil bado karama hiyo anayo na anatumia hiyo kila sehemu hadi kwenye nyumba za ibada ili kuvuna watu. Music ni lugha ya dunia. Music ndugu zake ni ngono, ulevi, majisifu, utupu, migogoro, na unyama.

Yuko dada mmoja muimba Gospel, black beauty na kishundu cha haja, na ni mke wa mtu lakini mzee wa......amefanya yake na kuleta madhara kwenye ndoa ya Muimbaji.
 
Upo sahihi kabisa, waliosema Mziki ni Shetani wala hawakukosea.... sie wanatuburudisha tu ila wenyewe wanapitia kwenye makaa ya moto, inasikitisha lakini sasa ndio Dunia hakuna cha kubadilisha.
 
Huyu ni attention seeker, uzuri mazingira hayo karibia asilimia kubwa ya wanawake tunakutana nayo, ile attention aliyopewa wakati ule majizo anamtongoza ndo anayoitaka mpaka saiv sasa kapotezewa ndo maumivu yake hayo,, hii wanawake kama una akili ndogo inatusumbuaga sana kihisia unahisi kudharaulika na kukosa thamani
Nadhani pia kila Media inamuogopa amejihisi mpweke sababu kila mtu anasem Ruby ana attitude mbaya sana, hana adabu hata kidogo na ngumu kumuhandle.... ana ego sio ya karne hii.
 
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.

Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".

Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.

Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841
Wasipoombwa watadai HAISIMAMI! Tukiomba rushwa?!
😕⁉️😵🤔
 
Mwambie afanye muziki mzuri mbona nandi. Anaenda Juu Mtu unabidi ujitoe katika kundi la walalamikaji.
Mademu wa Tz wajifunze kwa nandi namna anavyopambana baada ya kulishwa Maarifa na Ruge mutahaba.
 
Vanessa Mdee alishawahi kulalamika kuwa wasanii wa kike ni ngumu mno kutoboa kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo kwenye tasnia ya muziki. Imagine mtu kama Lina Sanga kuna yule binti anaitwa Pipi alikuwa na sauti nzuri sans lakini aliacha kuimba. Hata Angela wa Harmonize figisu ni nyingi kwa mabinti. Vanessa hataki tena kusikia habari ya muziki wa bongo na alikuwa na talent kubwa.
Kiukweli watakua wanatakwa Sana hawa wadada,kama mimi tu,Pipi nilikua namtamani vile,je kweli maboss wa kibongo wamuache kweli?
Ukija Linah,kajaa kinoma,hakyanani,ni rahisi wadau kuwaka tamaa
 
demu anayeombwa samaki halafu anashitaki huwa namwona hamnazo sana.

sasa umeombwa umeona haina maana kutoa si unakausha tu,kwani huyo ni kaka yako mpaka uone ni ajabu kukuomba papa!!!!
 
demu yeyote mzuri hata kama ni fuko la rambo unaridhika tu na huo uzuri wake. Kuna mademu ni wabaya sura hazina mvuto mashine zao ni nzuri zinabana, ukimaliza kuchakata tu hutaki kurudia tena na unajutia imekuaje mpaka umchakate? Kumbe ilikuwa ni pozeo tu
Weweee kitu inabana utarudi tu hata kwa machale..maana sikuiz mifuko ya rambo ni kibao
 
Back
Top Bottom