Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sasa kama anajirahisisha alitaka Majizo afanyaje?
Unakuta demu anakuja home na kisketi mapaja yote nje halafu unategemea Majizo amkaushie
Je akitoka hapo akienda kumtangaza kwa kashfa mbaya kuwa Majizo ni shoga kwasababu haku respond chochote?
Ipi ingekuwa kashfa mbaya kati ya ushoga na hii ya kumtaka kimapenzi huyo demu?