Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Hakuna namna mkuuSasa mtafanyaje🤷‍♂️🤷‍♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna namna mkuuSasa mtafanyaje🤷‍♂️🤷‍♂️
Bomba la maji nyumbani na TV ya black&white ilinisaidia sana miaka ile. Aliyekataa ilimlazimu kwenda kuchota maji ya mto porini. Kumbe nisingekuwa teenager ningefunguliwa kesi ya unyanyasaji na rushwa ya ngono [emoji23]Ni hakuna mwanaume ambaye hajawahi kuomba mzigo kwa kutumia nafasi yake hata kama ni ndogo kiasi gani.
Yaani ukishakuwa mwanaume hata vivulana vidogo vitatumia mwanya hata wa bomba la maji ulilowaachia pale nyumbani kuombea mzigo.
Utasikia uwe unachota bure kila siku ila na wewe jiongeze.
Shida ndugu zetu wadada huwa wanatafsiri tofauti.
Utakuta ulikuwa unampa lifti kila siku, ukiomba mzigo tu shida. Anaenda kukutangaza kwamba kisa ki-IST chako unamwomba mzigo.
Tatzo sio kula tu nyie mnafilisi kabisaSasa mnataka ziliwe na wanaume wenzenu?
Haha! wengi tumepitia huko. Na kizuri humlazimishi, anachagua mwenyewe. Akachote mbali huko au ajiongeze. Sema tukishakuwa wakubwa tunabadilika kidogo ila nature haipotei kabisa.Bomba la maji nyumbani na TV ya black&white ilinisaidia sana miaka ile. Aliyekataa ilimlazimu kwenda kuchota maji ya mto porini. Kumbe nisingekuwa teenager ningefunguliwa kesi ya unyanyasaji na rushwa ya ngono [emoji23]
Nyie mna hela bana, hamuwezi kufilisikaTatzo sio kula tu nyie mnafilisi kabisa
Majizzo kama angekua serious kumtaka Vee angembeba mchana kweupee, ila Majizzo alizama kwa Lulu na hao wadada kama walipitiwa na Majizzo waliamini wao ndio wangekua mama mijengo matokeo yake jamaa akakomaa na useless wife wake hadi leo.You think, Vanessa mdee was well connected .she didn’t have to say that . Unless he was serious & wanted to marry Vanessa she said no . Which I could agree . Shule na media experience ipo pale . Lulu is a useless wife .
Why useless?Majizzo kama angekua serious kumtaka Vee angembeba mchana kweupee, ila Majizzo alizama kwa Lulu na hao wadada kama walipitiwa na Majizzo waliamini wao ndio wangekua mama mijengo matokeo yake jamaa akakomaa na useless wife wake hadi leo.
Asipojibu maana yake ni kweliUdaku doesn’t go live in public that’s a serious accusation . PR. Damage
Kumbe ndio huna akili hivi?Vanessa na Ruby wote walikua wana madepression ya mahusiano na wanaume zao wa Dar waliokosa future kazi kulamba lips tu,
Vee akadondokewa na bahati ya mtende, sasa mwenzangu na mie Ruby kazi anayo.
Kama Shangazi yakoKumbe ndio huna akili hivi?
Si ndio alivyosema mtoa mada kua Lulu ni useless wife, angalia comment yake niliyomquoteWhy useless?
Ninachukia huu udhalilishajiSi ndio alivyosema mtoa mada kua Lulu ni useless wife, angalia comment yake niliyomquote
Washitaki rasmi ndipo hatuwa za kisheria zinaweza kuchukuliwa, la sivyo inabaki kuwa ni udaku tu.
Ana chuki binafsi na familia ya Majizzo.... labda lipo na yeye alilotendwa [emoji38]Ninachukia huu udhalilishaji