Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Mimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
Hata mimi niko hapa na watu wa kijijini kwetu nao wameshangaa sana baada ya kuona hii video ya huyu dada. Kesho tutafanya tambiko kwa sababu sio hali ya kawaida.
 
Vanessa Mdee alishawahi kulalamika kuwa wasanii wa kike ni ngumu mno kutoboa kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo kwenye tasnia ya muziki. Imagine mtu kama Lina Sanga kuna yule binti anaitwa Pipi alikuwa na sauti nzuri sans lakini aliacha kuimba. Hata Angela wa Harmonize figisu ni nyingi kwa mabinti. Vanessa hataki tena kusikia habari ya muziki wa bongo na alikuwa na talent kubwa.
 
Pipi anaroho mbaya sana yule msichana alininyima tamuu kinyume na katiba ya nchi .iliniuma sana
 
Hiyo Spirit ndiyo Ajenda kubwa ya kuiangalia.
 
Ana tatizo mahala huyu, and hayupo connected kabisa
 
Ohoo mpaka Majizzo nae kauomba mkopo wa sukari wa Ruby. Ila wasanii wa kike kutoboa ni kazi.Hapo kwenye mziki njoo huku maofisini,ndio hatari wenye misimamo unawatafuta kwa tochi.
 
hivi ukimpa mtu sapoti mara moja, siku nyingine akihitaji sapoti lazima umpe, usipomsapoti anakurarua? huyu binti anavuta bange, au ana stress katelekezewa mtoto au ana shida gani, anaonekana kabisa akili yake imelegea ni kama ana stress zilizomvuruga mbali sana. walio karibu naye wamsaidie, pamoja na kwamba jinsi anavyoongea na mume wa mtu kwamba amegoma kumsaidia inaonyesha wazi walikuwa wapenzi kwa muda mrefu sasa wamemwagana au wamesalitiana viahadi ahadi. anaongea kama anaongea na mzazi mwenzie au ex wake.
 
Bila kupepesa macho RUBY ni TATIZO
 
Ohoo mpaka Majizzo nae kauomba mkopo wa sukari wa Ruby. Ila wasanii wa kike kutoboa ni kazi.Hapo kwenye mziki njoo huku maofisini,ndio hatari wenye misimamo unawatafuta kwa tochi.
Sisi wanaume ndio tunaoomba mzigo, tusiwalaumu wao... Siku sisi wanaume tukiacha kutengeneza rushwa za ngono, hawa viumbe hawatakuwa hivi walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…