Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah very true kabisa... Shida nimeona kwenye replies wafu wengi wanampenda, ila huo ndio uhalisia.... Hawa Mabosi wenye TV na Mabosi wengi hadi serikalini wanapenda sana chiniRuby ni dada m1 mwenye msimamo,hata ruge alimpoteza kwenye industry ya muziki kwa sababu kama hizi kumkomoa ruby akampandisha nandy,ruby alishawahi kuongelea hii kitu
True... Uwezi kulalamika wakati washakula mzigo 😂, demu ukishamla hawezi kukutukanaKati ya wanawake 100 wanaotongozwa 99 wanaliwa, anabaki mmoja, hao 99 hawawezi lalamika maana wameliwa, pengine yeye pekee ndo anakaza, nampa credit, mwache aongee.
Uenda inawezakana... Lakini mbona kasema mwenyewe kwamba kabana kuliwaSio rahisi ruby kumkataa majizo inaonekana ruby kashaliwa sasa tena mwamba kapita kisela halafu shida ya ruby anaharaka sana anapenda kupewa first priority
Hata kipindi kile aligombana na clouds anataka alipwe malipo ya show zaidi ya wenzie sababu yeye anatembea na boss
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View: https://youtu.be/gXtYhsGOQcM
Kichwa chako nakionea huruma jinsi kilivyo kama cha mtoto mdogo. Yaani hawa wanajiita wasanii hapa Bongo wambanie mwenye fedha?Uenda inawezakana... Lakini mbona kasema mwenyewe kwamba kabana kuliwa
Mke wake mwenyewe "Lulu Elizaberth Michael" ni bingwa wa hizi kazi za kuchambana mitandaoni.Nataman nione mwisho wa hii vita, maana Hilo bomu alilotupiwa MJZ sio dogo...... Akili Kalia kimya lazima litazua maswali mengi.
Kilichonishangaza ni namna Ruby alivyotamka kwamba amemnyima ngono Boss, mi nikajua Sisi kapuku ndio uwa tunanyimwa kumbe hadi wenye pesa zao... Mimi nimeshangaa Ruby ameweza je kumkazia majizzo?Kitu gani kimeshangaza mengi? Labda kimekushangaza wewe lakini siyo wengi. Hivi kweli unajifanya hujui kuwa ngono vs fedha ni jambo lililo nje nje kwenye hawa wanaojiita wasanii?
Nani amkemee? Bwana mdogo sikiliza. 1. Huyu mwanamke hawezi kumkataa huyo jamaa, labda kuna vitu vingine wameshindwana tu. 2. Akamewe na nani wakati hii ndiyo hali halisi ya maisha ambayo watanzania wameeamua kuishi? Nenda kwa wachungaji, wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima, machinga.... kila mtu anatumia fursa ya kazi na fedha yake kuomba ngonoAkiwa wa kawaida ndo asiombwe utelezi? vichaa wenyewe wanaombwa utelezi.
Halafu kila mtu anatype zake anazopenda mimi haka nakaomba vizuri tuu nakakubali, pia jide na lina yule wa zamani.
Ruby anahoja asikilizwe kama ni kweli majizo akemewe rushwa hasa ya ngono inadidimiza taifa.
Mkuu ukiona hivyo ujue kuna vitu vingine wameshindwana. Hawa wanaoitwa wasanii wa kike Bongo pato lao linapatikana kwenye kujiuza, japo kujiuza kwao ni kwa kistaarabu na kimkakati sana.Kilichonishangaza ni namna Ruby alivyotamka kwamba amemnyima ngono Boss, mi nikajua Sisi kapuku ndio uwa tunanyimwa kumbe hadi wenye pesa zao... Mimi nimeshangaa Ruby ameweza je kumkazia majizzo?
Ofisaa... Ruby kasema kwa kinywa chake kwamba kambania Majizzo, sasa unataka nimkatalie kwamba si kweli wakati Majizzo mwenyewe hajatokea hadharani kukanusha... Kukaa kimya ni kitendo cha kukubaliana na yaliyosemwa...Kichwa chako nakionea huruma jinsi kilivyo kama cha mtoto mdogo. Yaani hawa wanajiita wasanii hapa Bongo wambanie mwenye fedha?
Sawa tunakubaliana na wewe... Hila hiyo hali haimaanishi wanawake wengine hawakatai, wapo ambao wanawakatila maboss, inategemeana na jinsi alivyojiweka mwenyewe.Nani amkemee? Bwana mdogo sikiliza. 1. Huyu mwanamke hawezi kumkataa huyo jamaa, labda kuna vitu vingine wameshindwana tu. 2. Akamewe na nani wakati hii ndiyo hali halisi ya maisha ambayo watanzania wameeamua kuishi? Nenda kwa wachungaji, wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima, machinga.... kila mtu anatumia fursa ya kazi na fedha yake kuomba ngono
Afisaa... Nikija kwenu nikakuambia kwa kinywa changu kuwa mimi ndiye nililala na mama yako ukazaliwa wewe, hivyo mimi ni baba yako inatosha kukuaminisha kuwa mimi ni baba yako?Ofisaa... Ruby kasema kwa kinywa chake kwamba kambania Majizzo, sasa unataka nimkatalie kwamba si kweli wakati Majizzo mwenyewe hajatokea hadharani kukanusha... Kukaa kimya ni kitendo cha kukubaliana na yaliyosemwa...
Nyie ndio mahakamani uwa mnafungwa kwa kuhalalisha mambo ambayo hauna ushahidi nayo... Tupe ushahidi kuwa Ruby ameliwa na majizzo, mimi nimekupa ushahidi wangu hapo kwa kutumia kauli yake mwenyewe Ruby kwamba hajaliwa
Yes kama na yeye muhusika alisikia na hakukanusha basi moja kwa moja tunapigia mstari ni kweliAfisaa... Nikija kwenu nikakuambia kwa kinywa changu kuwa mimi ndiye nililala na mama yako ukazaliwa wewe, hivyo mimi ni baba yako inatosha kukuaminisha kuwa mimi ni baba yako?
Kwa hiyo wewe unaamini kabisa tuhumu huondoka kwa mhusika kukanusha?Yes kama na yeye muhusika alisikia na hakukanusha basi moja kwa moja tunapigia mstari ni kweli
Kwani mahakama ufanyaje kazi... Hiyo kwa lugha ya Mahakama uitwa Testimonial evidence, na Testimonial evidence inaweza kukufunga...Kwa hiyo wewe unaamini kabisa tuhumu huondoka kwa mhusika kukanusha?