Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kwa kweli wanawake wanapata tabu sanaaa kwenye rushwa za ngono, si maofisini wala uongozini na wale wanaojua kula na kipofu kwa hesabu nzuri, ndio huwa wanafika mbali kirahisiYeah very true kabisa... Shida nimeona kwenye replies wafu wengi wanampenda, ila huo ndio uhalisia.... Hawa Mabosi wenye TV na Mabosi wengi hadi serikalini wanapenda sana chini
Kama rose muhando tu hakuogopwa licha ya jina na uinjilishaji wake, itakuwa Ruby
Sisemi tuhuma za Ruby ni kweli Ila hatuwezi kujitia upofu kwa kuona hii rushwa za ngono ni kitu kipya kwa wanawake