Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
QChief ndiyo yule alikua anamshambulia baba yake na akapata mafanikio kwa kumshambulia baba yake akidhani hatakuja kuwa baba?Huyu hana tofauti na Q chief, ukikaa nae karibu lazima mtatibuana😁
Hamia SomaliaNatamani nicomment kitu lakini Hilo jina lako linanikata steam nahisi tutagombana tupigwe ban Bure.....hivi wewe mama Samia unajua umeme unavyosumbua Sasa?
Are you kidding me? Unaleta janja ya ''nyani kula mahindi mbichi''? Kwenye mambo ya tuhuma na uhalifu, binadamu tungekuwa tukisema ''ndiyo'' kweli inaanisha ndiyo, na tukisema ''hapana'' pia inamaanisha hapana, dunia isingekuwa kama ilivyo sasa.Kwani mahakama ufanyaje kazi... Hiyo kwa lugha ya Mahakama uitwa Testimonial evidence, na Testimonial evidence inaweza kukufunga...
Kwani ukisikia Serikali au kiongozi anatuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha inamaanisha sio kweli? Itakuwa sio kweli endapo muhusika naye akitoka adharani kujibu na kukanusha
We umeamini?mbona ukisikiliza demu analalamika Majay hapokei simu zake?ana uwezo wa kumnyima majizo huyu?Mimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
Mkwaju wajaHahaha 🤣😂. Panua paja
Kwa hiyo hili shambulio ni la Elizabeth? uzuri mke wa Majizzo kakomaa sana akili kuliko umri wake,she can play this game bila kuteterekaLegends tukiliangalia hili tukio, tunachokiona wala si shambulio kwa Majizo, huyo anafanya kuzunguko tu. Hili shambulio amelikenga kwa kwa yule mke wa Majizo, huyo ndiyo ana bifu naye.
Inakuwaje watu mnashindwa kuona vitu obvious kama hivi? Mnakuwa kama hamjawahi kucheza draft bwana?
Kasema Pussy yake inaimba ndio maana wanaume wanaitaka Cha kushangaza Kusah kamuacha..wonders!Kutoa pussy anania yakutoa, shida ukute pussy yake haimruhusu kuitoa/mbovu
Nimewahi kuona post zake kama mbili, aisee ni kakomavu kweli.Kwa hiyo hili shambulio ni la Elizabeth? uzuri mke wa Majizzo kakomaa sana akili kuliko umri wake,she can play this game bila kutetereka
Very contradicting, sijaone anything strong to support her accusationsHuyu Ruby angejituliza tu,Sasa anasema kamnyima papuchi Boss,wakati Huo Huo analalamika Boss hapokei simu yake,yaani hapo ni kama ana stress za kutopewa attention
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View: https://youtu.be/gXtYhsGOQcM
🤣🤣🤣Yule dogo kapitia misukosuko mikubwa Angalia mdogo,hiyo imemkomaza sana akili,hiyo umefanya afanye mambo yake Kwa mahesabu sana,amekaa na Majizzo Karibu 4yrs hakuruhusu mimba maana angeruhusu tu kama baby mama wengine angeachwa,kambana jamaa mpaka kaoa,wanejaribu kumtisha mumewe anadate na na B12 ndio kwanza mume anapelekewa Maua ofisini,yaani huyu Ruby hajamtikisa Lizzy hata kidogo.....Kama Mange alisanda ye Ruby hawezi kituNimewahi kuona post zake kama mbili, aisee ni kakomavu kweli.
Mange katikisa watu, vigogo, mibuyu, visiki hadi vinyoya. Lakini siku alipojaribu kukagusa, Kalimfanya Mange ajione hana content. Mange akawa mdogo.
Ni kama anatapatapa tu...Very contradicting, sijaone anything strong to support her accusations
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View: https://youtu.be/gXtYhsGOQcM