Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Ila kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.

Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika.

Haingii akilini kila siku ni yeye tu anaeombwa uchi huku akidai hataki kuutoa.

Huyu demu ana mdomo mno mpaka kuathiri kipaji chake. Kila anaekuwa karibu nae kumsaidia huishia kumsemea mbovu.
Hakuna wanazungua au kimekuuma nini.
 
Haka kaRubby kenyewe kutwa kugombana na wamiliki wa Media.

Alianza kukorofishana na Ruge na sasa Majizo.

Ila napenda sana spirit yake ya kutonyenyekea pale anapoona kuna njama za kumlaghai na kumkandamiza.

Bahati mbaya sana Bongo, usipotoa kitu hupati kitu.

Kwani huyo Ruby ni mzuri?
 
Ila kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.

Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika.

Haingii akilini kila siku ni yeye tu anaeombwa uchi huku akidai hataki kuutoa.

Huyu demu ana mdomo mno mpaka kuathiri kipaji chake. Kila anaekuwa karibu nae kumsaidia huishia kumsemea mbovu.
Ilianzia kwa Ruge. Alimsema sana Ruge kila baya alilisema mpk akadai Nandy anapaishwa ili wamzime yeye. Sasa Ruge hayupo kahamia kwa Majjizo

Kweli kuna kitu hakiko sawa kwake. Hivi mie mbona nina ngome kibao kali za Naija na sijawahi kusikiliza radio stations zao hata siku moja. Hana ngoma kali ajipange apitie digital platforms kama kweli ni mkali atatoboa na media zitamtafuta zenyewe
 
Majuto ni mjukuu... Uenda Ruby alishindwa kumshikilia majizo kwa sababu labda kwa kipindi hicho hakuona future yoyote kwa majizoo... Wakawake mnatabia moja, mtu akiwa hana future kwa wakati huo mnamuonaga fala tu, mambo yakitiki mnaanza kumpaparukia, unakuta Lulu yeye aliamua kuwa mvumilivu.

Alafu ukicheki hili povu la Lulu limetoka kipindi Majizzo ametoka kuzindua Studio mpya... Ina maana Ruby kuna ka Wivu kameanza kuingia, kuona dhahabu inang'aa baada ya yeye kuchengana nayo [emoji23]
Majibu ya mdogo wako yameanza🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20230916-165919.jpg
    Screenshot_20230916-165919.jpg
    44.1 KB · Views: 2
Sishangai majizo kumtongoza, nachoshangaa ni yeye kutokuwa straight forward na kusema NO ila inaonekana kama alikua anamzungusha zungusha hivi inawezekana hiki ndio kilimpa majizo matumaini ya sikumoja kuja kula tunda la ruby. Mwanamke ukitongozwa kama hutaki sema NO sio ngoja ntakujibu, mara subiri kidogo etc.
 
Alikuwa anataka kumchuna ampelekee Kusah Hela🤣🤣🤣 Majay akastuka
 
Back
Top Bottom