TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Sasa nyie mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like this". What exactly do you like about the death of this young man. R.I.P, Sajuki.
 
We like the initiatives of the guy to bring the news here FIRST, so that you, with your pessimistic views get to know that SAJUKI is no longer with us...

R.I.P Sajuki
 
Sasa nyie mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like this". What exactly do you like about the death of this young man. R.I.P, Sajuki.

Like haimaanishi tu kuipenda habari iliyoletwa kama ulivyozoea, pia inamaanisha
kuunga mkono taarifa iliyoletwa kwa kuwa ni sehemu ya kupashana habari...
 
Mungu amuweke mahali anapostahili.....pole wastara
 
Like haimaanishi tu kuipenda habari iliyoletwa kama ulivyozoea, pia inamaanisha
kuunga mkono taarifa iliyoletwa kwa kuwa ni sehemu ya kupashana habari...

Sasa wee bishop unaungaje mkono habari ya kifo. Aisee, this is very serious. Tena kutoka kwa Askofu!!
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????????????????????????dunia tunapita
 
Aisee sajuki pumzika kwa amani. Wastara pole saaana mama Mungu mwenyewe atakufariji na huo ndio mwanzo wa kujua positive na negative sides za maisha ambazo lazima kila mtu azi experience ingawaje ni ngumu.
 
Ina lil Allah! Kwake tumetoka na kwake tutarejea! Hongera kwa kumaliza safari yako ya dunia hii yenye kila aina ya mtihani, upumzike kwa amani sote tu safari moja. Pole kwa familia na ndugu Mungu awape uvumilivu kwani ndo mpanga yote
 
Sasa wee bishop unaungaje mkono habari ya kifo. Aisee, this is very serious. Tena kutoka kwa Askofu!!

Naona wewe una stamina ya ubishi, au pengine una matatizo ya uelewa.
Hata hivyo natumaini ujumbe umefika kwa kuwa walioelewa wameelezea
machungu yao kwa kifo cha Sajuki, lakini wewe unataka kubadilisha mada
ili ulete mambo yako ambayo nachelea kusema yanaweza kuwa ya kipuuzi...
 
Back
Top Bottom