Mhhh haya bhana!pumzika mwanangu kilowoko....umeteseka sana na umefanya safari yako humu duniani kwa makini sasa kapumzike ...kuwa na amani tutamuangalia shemeji vyema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh haya bhana!pumzika mwanangu kilowoko....umeteseka sana na umefanya safari yako humu duniani kwa makini sasa kapumzike ...kuwa na amani tutamuangalia shemeji vyema sana
Kilichonisikitisha ni kumwona juzi tarehe 31/12/2012 kwenye kipindi cha mkasi cha EATV. Alionekana ana afya njema na aliongea kwa furaha sana na alinifanya nikafurahi sana. Leo, siku mbili baadae kuskia ametutoka ni jambo la kushtusha mno. Sina lingine la kusema, RIP brother, pole sana Wastara.
am sory guys bt i still cnt blv dat dnt knw y may b coz juz nimemuona kwenye mikasi,seriaz am still in shork dnt knw wat to blve