TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Woote tuseme atukuzwe Bwana!

Kazi ya Mungu haina makosa
anafanya apendalo ili tu Mapenzi yake yatimie!!
Tunachotakiwa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo!!

Mungu ampe faraja ya Moyo Mjane Wastara na Mungu awape pia faraja waTz
ktk kipndi hich kigumu cha majoz na msiba mzito!

R.I.P Sajuki!
 
Baada ya kuamka asubuhi majira ya saa 12 asubuhi na kuangalia simu yangu ya mkononi nilikuta kuna missed call kama tano toka kwa rafiki yangu wa karibu na ni mdau wa bongo movies kama nilivyo mimi.niliona itakua ni busara kama nikimpigia jamaa na kumuuliza ni yapi yaliyo jili mwanzo wa mwaka 2013.baada ya kumpigia jamaa akanipa taarifa unaowahusu watanzania kwa ujumla hasa wapenzi wa bongo movies,kiukweli ni pengo kubwa sana R.I.P SAJUKI
 
Kifo hiki kimeniumiza sana. Lakini pia ndoa ya Sajuki Na wastara ni mfano mzuri sana wa kuigwa na kila mtu anayemjua Mungu. Vijana hawa walini- inspire sana kwa jinsi walivyoishi maisha yao ya ndoa. Ilikuwa ni ndoa yenye upendo na uvumilivu wa kweli. Vijana na haswa wasanii jaribuni kuiga mfano huo mzuri wa maisha ya ndoa.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SAJUKI MAHALA PEMA PEPONI.
 
Kilichonisikitisha ni kumwona juzi tarehe 31/12/2012 kwenye kipindi cha mkasi cha EATV. Alionekana ana afya njema na aliongea kwa furaha sana na alinifanya nikafurahi sana. Leo, siku mbili baadae kuskia ametutoka ni jambo la kushtusha mno. Sina lingine la kusema, RIP brother, pole sana Wastara.
 
Kilichonisikitisha ni kumwona juzi tarehe 31/12/2012 kwenye kipindi cha mkasi cha EATV. Alionekana ana afya njema na aliongea kwa furaha sana na alinifanya nikafurahi sana. Leo, siku mbili baadae kuskia ametutoka ni jambo la kushtusha mno. Sina lingine la kusema, RIP brother, pole sana Wastara.

Kile kipindi usikute kina miezi zaidi ya mi2 tangia kiwe recorded.
 
R.i.p. Sajuki! Pole sana wastra mungu ndiye mfariji wa kweli!
 
Inaniuma sana mtu kufa kwa tatizo la upungufu wa damu ni hatari sana na kitu kisichoeleweka hata kidogo....Real It PAIN bt nothing can change.R.I.P SAJUKI
 
Baada ya kuugua kwa muda mrefu huku akikumbana na madhoruba
ya hapa na pale kutoka kwa waigizaji wenzake wa Bongo Movie,
hatimaye msanii Sadiki Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki
dunia leo asubuhi katika Hospitali Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa
matibabu. Sajuki alikuwa amepungukiwa damu na alishindwa kupumua
na kulazimika kutumia mashine kupumulia..
 
RIP Sajuki..., ulipambana vya kutosha ktk kujitetea uhai wako wakati wa ugonjwa. Mwenyenz Mungu ametwaa...., na vile vile tunamwomba aipe faraja na nguvu family yako kipindi hk kigumu.
Amen.
 
Back
Top Bottom