hospitaliRIP! kafia wapi,,tz ama india nilisikia serikali inampeleka kwa gharama zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hospitaliRIP! kafia wapi,,tz ama india nilisikia serikali inampeleka kwa gharama zake
R.I.P Sajuki!Hv alikuwa anasumbuliwa na nini haswa?
si juzi tu alikua na salama kwenye kapindi cha mkasi alikuwaa akiongea vyema kabisa nkaamin kapona sas lol! kumbe alikuwa anatuaga watanzania wenzake mungu mtangulie huko aendako pole pia sana tena sana kwa wastara
Nimeguswa mno na msiba huu, tutegemee rambi rambi kubwa toka lkulu.
RIP Sajuki
Is Mikasi cursed?
RIP Sajuki
Is Mikasi cursed?
Poleni sana wafiwa,but Elizabeth what do you mean by this?kuna mwingine tena alikukufa baada yakufanya interview Mikasi jamani nieleweshe mwaya.....RIP Sajuki
Is Mikasi cursed?