TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Msanii sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya muhumbili alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mwenyezi mungu ampe pumziko jema amen.
 
R.I.P Sajuki.Maisha ya duniani ni kama maua,asubhi huchanua jioni hunyauka.Mungu akupumzishe mahali pema peponi.
Mke wa Sajuki na Ndugu wote Mungu Awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Huyu bwana nilipomuona tu pale uwanja wa Shehk Amri Abed Arusha aliposhindwa kusimama na kuanguka nishapata wasiwasi kuwa jamaa hana muda mrefu! R.I.P Sajuki
 
Pole sana dada Wastara.... Mwenyezi Mungu akutie nguvu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe!!!!!
 
si juzi tu alikua na salama kwenye kapindi cha mkasi alikuwaa akiongea vyema kabisa nkaamin kapona sas lol! kumbe alikuwa anatuaga watanzania wenzake mungu mtangulie huko aendako pole pia sana tena sana kwa wastara

RIP.

Nae kaaga kwenye mikasi kama alivyoaga kanumba.
 
Nimeguswa mno na msiba huu, tutegemee rambi rambi kubwa toka lkulu.

Kwahiyo hupendi jk atoe rambirambi nini?! Wacha roho mbaya wewe, poleni sana wafiwa, mungu amlaze mahala pema sajuki
 
Lala kwa amani. Umetangulia nasi tutafuata. Ooh God, give me a good end!
 
apumzike kwa amani,jitihada kubwa zilifanyika,asante kwa jacjline wolper kwa kugharamia million 16 kwenye safari yake ya kwanza,pia serikali itajifanya kugharamia mazishi badala ya kugharamia safari ya haraka arudi kutibiwa,muda wote wamemchelewesha nilijua amefia india,kumbe muhimbili,polen bongo movie na watanzania wote
 
Back
Top Bottom