Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi aliugua hasa nini?
Mkuu Gang Chomba hebu endelea kushusha maelezo kwa faida ya sisi tusiojuwa lolote na ambao hatuwafuatilii hizi Bongo Movie. kuna kitu kimeniuma hapa kwenye haya maelezo yako licha ya kwamba siwapendi kabisa hawa Bongo Movie.hebu tuunganishe matukio kisha tutaujuwa ukweli...
1. Wastara kupata ajali iliopelekea kukatwa mguu siku chache kabla ya harusi...
2. Sajuki kuumwa ugonjwa usiojulikana ndani ya nchi na nje ya nje mpaka kupelekea umauti kumkuta...
3. Kwa nini wadau wa Bongo Movies hawakuwa mstari wa mbele katika kumshughulikia mwenzao?...je kuna kitu wanakijuwa?...ama?
Kuna nini hapa?
Walifanya nini hawa kibaya mpaka yakawaandama haya yaliyowafika?
To be continua
hebu tuunganishe matukio kisha tutaujuwa ukweli...
1. Wastara kupata ajali iliopelekea kukatwa mguu siku chache kabla ya harusi...
2. Sajuki kuumwa ugonjwa usiojulikana ndani ya nchi na nje ya nje mpaka kupelekea umauti kumkuta...
3. Kwa nini wadau wa Bongo Movies hawakuwa mstari wa mbele katika kumshughulikia mwenzao?...je kuna kitu wanakijuwa?...ama?
Kuna nini hapa?
Walifanya nini hawa kibaya mpaka yakawaandama haya yaliyowafika?
To be continua
Huyu dalili zote ilikuwa ni cancer
MadameX zama za kuishi kwa dalili zilipitwa na wakati...
Tuzungumze ukweli uliopo ambao ulimtesa yeye na mkewe.
Je walifanya kipi kibaya cha kupelekea kupata ulemavu na pia hata yeye kuteseka vile?
Hayo ndo mawazo finyu ....ya kuamini ni mkono wa mtu maana naona unaelekea huko. matatizo yapo duniani yameumbiwa sisi binadamu period.
Wewe unaona naelekea huko...
Lakini mimi sielekei na wala siko huko.
Acha woga
aiseeeee
aiseeeee
vipi mbona unaziupdate post zote za vifo, unanyege ya kufa?
aiseeeee