TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

hebu tuunganishe matukio kisha tutaujuwa ukweli...
1. Wastara kupata ajali iliopelekea kukatwa mguu siku chache kabla ya harusi...
2. Sajuki kuumwa ugonjwa usiojulikana ndani ya nchi na nje ya nje mpaka kupelekea umauti kumkuta...
3. Kwa nini wadau wa Bongo Movies hawakuwa mstari wa mbele katika kumshughulikia mwenzao?...je kuna kitu wanakijuwa?...ama?

Kuna nini hapa?
Walifanya nini hawa kibaya mpaka yakawaandama haya yaliyowafika?

To be continua
 
Mkuu Gang Chomba hebu endelea kushusha maelezo kwa faida ya sisi tusiojuwa lolote na ambao hatuwafuatilii hizi Bongo Movie. kuna kitu kimeniuma hapa kwenye haya maelezo yako licha ya kwamba siwapendi kabisa hawa Bongo Movie.
 
Last edited by a moderator:
hebu tuunganishe matukio kisha tutaujuwa ukweli...
1. Wastara kupata ajali iliopelekea kukatwa mguu siku chache kabla ya harusi...
2. Sajuki kuumwa ugonjwa usiojulikana ndani ya nchi na nje ya nje mpaka kupelekea umauti kumkuta...
3. Kwa nini wadau wa Bongo Movies hawakuwa mstari wa mbele katika kumshughulikia mwenzao?...je kuna kitu wanakijuwa?...ama?

Kuna nini hapa?
Walifanya nini hawa kibaya mpaka yakawaandama haya yaliyowafika?

To be continua

Mmmh!...
 
Huyu dalili zote ilikuwa ni cancer

MadameX zama za kuishi kwa dalili zilipitwa na wakati...
Tuzungumze ukweli uliopo ambao ulimtesa yeye na mkewe.
Je walifanya kipi kibaya cha kupelekea kupata ulemavu na pia hata yeye kuteseka vile?
 
Hayo ndo mawazo finyu ....ya kuamini ni mkono wa mtu maana naona unaelekea huko. matatizo yapo duniani yameumbiwa sisi binadamu period.
 
Jamani hakuna aliyehudhuria msibani atujulishe nini kinachojiri huko? vp steve nyerere kazimia mara ngapi leo?
 
Hayo ndo mawazo finyu ....ya kuamini ni mkono wa mtu maana naona unaelekea huko. matatizo yapo duniani yameumbiwa sisi binadamu period.

Wewe unaona naelekea huko...
Lakini mimi sielekei na wala siko huko.
Acha woga
 
Back
Top Bottom