TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Sasa nyie
mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine
mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like
this". What exactly do you like about the death of this young man.
R.I.P, Sajuki.



eeeeeh we ndugu mbona unapenda kushushua shua wadau wenzako?na c mara1 kuliona hili jambo kutuc au kuumbua comment na post za wengine?
uliza basi jamani kwa nn mme like?watakupa sababu,kwa upeo wk utaic wame like kifo,ila huenda wame like kufkishiwa habari,
JIREKEBISHE BWANA WE ARE DE SAME 2KIWA JF HAMNA UKUBWA WA UMRI KIASI CHA KUFOKEANA NA SEMA HAYA COZ C MARA YA KWANZA KUONA NISHAKUONA KTK MAJUKWAA MENGI YA MAPENZI UNAVO2C.
 
I HOPE IT'S JUST A JOKE AND YOU ARE NOT SERIOUS ON THAT,PUT YOURSELF ON THE SHOES OF WASTARA AN TRY TO FEEL THE PAIN SHE IS GOING THROUGH THIS MOMENT.TODAY IT'S HER AND NOBODY KNOWS WHATS NEXT MAYBE 2MORROW IT'S GOING TO BE YOU OR ME,SO REDUCE YOUR HARSH WORDS Bwana Mapesa.KUMUONEA HURUMA ALIYEFIWA HIMAANISHI UNATAKA NDUGU YAKO NDO AFE,IT'S JUST PART OF COMFORTING ONE AN ANOTHER IN THIS UNPREDICTABLE WORLD OF US.
 
Last edited by a moderator:
Sasa nyie mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like this". What exactly do you like about the death of this young man. R.I.P, Sajuki.

Sredi yako nayo imegongewa LIKE...ththththhh.. chezea JF weye?
 
because death ndo mwisho wa kila binadamu sasa wewe ulitaka usi like kifo cha Sajuki(kupumzika) ulitaka afe ndugu yako?hakuna aliyekuja kuurith ulimwengu hata wewe utakufa na nikipata taarifa za kifo chako nta hit LIKE!
Aisee, anbilivabo!!
 
Ile show ya mkasi huwa recorded then inarushwa cku yoyote, so nadhani kwa mda ule alikuwa mgonjwa.!

kile kipindi kirekodiwa jumatatu ya tarehe 24 au 25 desember 2012.
Sina uhakika na tarehe ila ni jumatatu ya mwisho kabla ya jumatatu ya mkesha wa mwaka mpya
 
R. I. P. Sajuki. Nikiiangalia movie yako ya Brifcase nalia kwa machungu. Tumepoteza jembe ktk tasnia ya filamu.

Kuna kazi yake inaitwa "NZOWA"....

Niliipenda sana pia inanipa maumivu nikiikumbuka na sasa kuwa amefariki.

Alikuwa anajitahidi sana.

Mwenye Enzi yote arehemu mja wake na asiiache familia yake iumbuke, nimeomba, Amen!
 
Sajuki na wastara wameacha history ya mapenzi ambayo kila mtu atajifunza...so sad mungu kakupenda zaidi

Wastara ni Mwanamke wa pekee sana.

Wachache sana kwa miongoni mwa mabinti wa kisasa wenye moyo mkubwa kama wake!
 
because death ndo mwisho wa kila binadamu sasa wewe ulitaka usi like kifo cha Sajuki(kupumzika) ulitaka afe ndugu yako?hakuna aliyekuja kuurith ulimwengu hata wewe utakufa na nikipata taarifa za kifo chako nta hit LIKE!

kucheka nashindwa kulia nashindwa,sawa bwana mapesa
 
maisha ya mahusiano mpaka ndoa ni ya kuigwa kwa jinsi wasanii walivyopoteza maadili

R.I.P Sajuki
 
Baada ya kuugua kwa muda mrefu huku akikumbana na madhoruba ya hapa na pale kutoka kwa waigizaji wenzake wa Bongo Movie, hatimaye msanii Sadiki Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Sajuki alikuwa amepungukiwa damu na alishindwa kupumua na kulazimika kutumia mashine kupumulia..
........ Pole sana kwa wafiwa hasa mkewe..... ni kijana aliyekuwa wa mfano katika kuweka maisha yake vizuri hasa kujituma kupitia sanaa R. I. P
 
R.I.P sajuki. Ngoja tusubiri upuuzi wa magazeti ya udaku na ufreemason Wa Sajuki.
 
Huyu bwana nilipomuona tu pale uwanja wa Shehk Amri Abed Arusha aliposhindwa kusimama na kuanguka nishapata wasiwasi kuwa jamaa hana muda mrefu! R.I.P Sajuki

mimi alipoanguaka Arusha sikuogopa sana kwani still bado nilikuwa na matumaini.Ila niliposikia kalazwa muhimbili niliogopa sana na kujua kuwa hatapata msaada wowote wa maana pale muhimbili zaidi ya kupewa kitanda. nimepoteza sana matumaini na muhimbili. rip Sajuki
 
Back
Top Bottom