Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.
Ilifika muda Shilole akataka kuondoka lakini Mziwanda aka boyfriend wake akamgomea, Bibie akamlabua makofi na kuomba funguo ya gari,kabla ya Steve Nyerere kuwaamulia maana walishaanza kurushiana ngumi.
Sasa ni fundisho mkome kutembea na mama zenu, maisha wamejilia wapi Eda wanamaliza na nyie.Mbaya zaidi akamwamuru ampe funguo haraka sana.
Ilifika muda Shilole akataka kuondoka lakini Mziwanda aka boyfriend wake akamgomea, Bibie akamlabua makofi na kuomba funguo ya gari,kabla ya Steve Nyererre kuwaamulia maana walishaanza kurushiana ngumi.
Hahahaha dogo kakubali kudhalilika,Kutukanwa na ya hii juzi kuzabwa vibao na kupigwa na shilole.Dogo anasingizia Mapenzi ila wengi wanaowajua hawa wanasema Kabisa ni njaa na kutafuta umaarufu Kwa kupitia shilole.
Imefika hatua mpaka anakubali kwenye interview ya ayo tv eti ni mapenzi na kupigwa kwake ni kawaida kwenye mapenzi.
Tuache utani. Sasa muda wa kuoa Si tu tunaowapenda mabinti waliotuzidi umri pia.Huyu akiingia ndoani hatosahau kile kibao dahh weraaa mziwandaaaa komaa mpwaaa maliziaa edaa hiyo.