Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

Teh Teh pididy ni mwanafunzi wa PhD University of Dares-salaam!
 
Last edited by a moderator:
achen kunnga mambo ya grama mleta mada amefikisha ujumbe kwa tukio lililotokea ambao wengine tulikua hatulijui so big up!!!
 
uyo mziwanda f*...a...*l* tu kuna cku alikua anahojiwa clauds fm kwa jinc nilivomckia jamaa kafa kaoza et kajichora tatoo mkononi ya jina la dem wake
 
Teh Teh
 

Attachments

  • 1422427180888.jpg
    1422427180888.jpg
    37 KB · Views: 7,638

Attachments

  • IMG_16177083592213.jpeg
    IMG_16177083592213.jpeg
    32.7 KB · Views: 472
Last edited by a moderator:
Huu uzi una harufu kali ya bangi na mirungu... Kova na Nzowa piteni huku mpitieni na Ray C.
 
Na apigwe tuuu, size zake za kucheza kibaba baba mbona zipooo? Ukiwa dereva wa malori usiogope ajali atiiii...

Mahaba nikung"ute hadi nirudi kwetuuu

Haaahaaaaaa mahaba niueee unidunde utakavyoo sikuachi ng'oooooo
 
Back
Top Bottom