Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

Acha apigwe tu! KATaka mwenyewe na kama kofi la mpenzi linauma basi anaugulia mwenyewe..
 
Kwa kawaida mtoto mdogo akikukosea adabu ni wajibu kwa mtu mzima kumuadhibu...ukicheki age ya huyo mziwanda na shilole ni haki kabisa kumuadhibu....
 
uandishi katika huu uzi umepata hitilafu iliyopelekea nikacheka mnoo....ha JF sio mchezo nimecheka adi nikapaliwa heee siwawezi
 
Raha ya paka kukalia mkia wake... na hao watoto wenzie wanao nyonya vinyonyo kama yeye hakuwaona? muache ale raha zake yakimshinda atawachia........
 
Unajua ukibahatisha kupata mtu alafu we ndo unamuona wa ukweli na unajua ulimuacha huwenda usipate kama yeye au kuna mambo yatakwama sasa ndo nayaona kwa huyo dogo.
 
Back
Top Bottom