Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.
Ilifika muda Shilole akataka kuondoka lakini Mziwanda aka boyfriend wake akamgomea, Bibie akamlabua makofi na kuomba funguo ya gari,kabla ya Steve Nyerere kuwaamulia maana walishaanza kurushiana ngumi.
Sasa ni fundisho mkome kutembea na mama zenu, maisha wamejilia wapi Eda wanamaliza na nyie.Mbaya zaidi akamwamuru ampe funguo haraka sana.