Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
huyo kijana ni wakiume.....?
Inakuwa balaa sana......Hahahaaa ikifika kichwani inakula ubongo
ni katoto maskini, kuna siku kalirusha pic kamevaa boxer kamelala kitandani kwa shishi, nikajua mtoto wa shilole, anatia huruma mno.
ndio hao wanaokomaza watoto wa wanawake wenzao....
Teh Teh ni msomi huyoHivi huyu Pdidy ndio mpaka kuongea anaongea kama anavyoandika tu au hili janga lipo kwenye upande wa maandishi tu!!!!
Weraaaaaaaaaa shiroreee???????
Na apigwe tuuu, size zake za kucheza kibaba baba mbona zipooo? Ukiwa dereva wa malori usiogope ajali atiiii...
Mahaba nikung"ute hadi nirudi kwetuuu