TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha.

Hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake.

Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zilizogharimu shilingi laki 7 kwa siku.
Hakuna marehemu asiyeacha uchungu kwa waliompenda.

Mungu ampokee mja wake.
Pole kwa familia,jamaa na marafiki
 
Hawa wapumbavu hawapaswi onewa huruma

Watumia sigara, bangi, pombe, hawatakiwi onewa huruma, wakiugua wasichangiwe
 
Kuna zile Shisha za kielectronic.. kama vipeni hivi, kuna Ex wangu namuangaliaga sana status zake namsubiria tu.

Wazee.. kabla ya kuoa hawa wanawake unapeleka kuwachunguza MAPAFU na Via vya Uzazi.
Actually ni zile za weed flavor, ndio huleta hiyo shida kufanya mapafu kujaa maji. Shisha Haina madhara kiivyo
 
Sahiv shisha zinawekw cocaine etc ili watu wawe addicted.. moshi ni moshi tu juzi nilikuwa ktk semina ya madaktari, kila mmoja alikuwa anatoa ushuhuda wake. Hali si nzuri kabisa..

Biashara nzuri sahiv ni kumiliki mashine ya Dialysis. Watu wanaumw figo wengi na matibab yake ni very expensive. Naona pia Shisha italeta hela sana ktk sekta ya afya.
 
Ah wapi.. ana nyodo sana, anajifanya mjanja mtoto wa Mjini, DRAGON kama DRAGON. tena huyu anakunywa na Mapombe makali.. hana muda mrefu.
Ujue mlivokua mnasema dragon [emoji244] nilikua sielewe sasa nkaanza kumuwaza dragon wa kwenye Merlin nkakumbuka anavotoa moto mdomoni ndo nikajua anhaaa...kumbe vile watu wa shisha wanavotoa Moshi mdomoni ndo mnawaita madragoni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]mna balaa ninyi
 
Sahiv shisha zinawekw cocaine etc ili watu wawe addicted.. moshi ni moshi tu juzi nilikuwa ktk semina ya madaktari, kila mmoja alikuwa anatoa ushuhuda wake. Hali si nzuri kabisa..

Biashara nzuri sahiv ni kumiliki mashine ya Dialysis. Watu wanaumw figo wengi na matibab yake ni very expensive. Naona pia Shisha italeta hela sana ktk sekta ya afya.
Subhana Lllaaah Mungu atunusuru
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari tupu
 
Sahiv shisha zinawekw cocaine etc ili watu wawe addicted.. moshi ni moshi tu juzi nilikuwa ktk semina ya madaktari, kila mmoja alikuwa anatoa ushuhuda wake. Hali si nzuri kabisa..

Biashara nzuri sahiv ni kumiliki mashine ya Dialysis. Watu wanaumw figo wengi na matibab yake ni very expensive. Naona pia Shisha italeta hela sana ktk sekta ya afya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ujue mlivokua mnasema dragon [emoji244] nilikua sielewe sasa nkaanza kumuwaza dragon wa kwenye Merlin nkakumbuka anavotoa moto mdomoni ndo nikajua anhaaa...kumbe vile watu wa shisha wanavotoa Moshi mdomoni ndo mnawaita madragoni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]mna balaa ninyi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mmoja anasema mtu ameamua kuishi kama Dragon[emoji1787][emoji1787]
Yaani watanzania [emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom