TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Kuna mambo Vijana kabla hawajayafanya vyema wajaribu kupima madhara yake.

Mtu anavuta shisha utasema kuna tuzo anapewa, ama wengine wanakunywa pombe hadi wanashindwa kujitambua.

Hayo yote eti kuendana na Ujana, kwani usipotumia hayo mavitu ujana wako utaisha?
Vijana wengi wanajazana upumbavu
 
Fake till her death
Kasoro Mapenzi walipendana Kweli na mmewe hakuwaga na skendo yoyote na wameishi pamoja SIKU nyingi na niite bosheni hakua mtu Wa drama drama yule dar hapo Ndo NilIkua napenda kama aliweza ishi na mchora tattoo ambae anachora almost mastaa wote wa Tanzania,Sehemu korofi korofi na Bado walikua pamoja mpk kifo Hawa watu walipendana sana
 
Ila utakufa tu..unaweza kufa kwa kupigwa mtungo..usimdhihaki aliyekufa kwa kula bata unaweza kufa kwa kupigwa mtungo wahuni wakazibua mtaro mpaka ukafa
Sijasema kama sitakufa brother Kila mtu ana kifo chake na sijamdhihaki marehemu sisi tunaambiwa tuombe Mwisho mwema siku zote!!!Km nimepangiwa hvyo baasi ni qadar ingawa tunaomba Mungu atuepushe na hilo
 
Kasoro Mapenzi walipendana Kweli na mmewe hakuwaga na skendo yoyote na wameishi pamoja SIKU nyingi na niite bosheni hakua mtu Wa drama drama yule dar hapo Ndo NilIkua napenda kama aliweza ishi na mchora tattoo ambae anachora almost mastaa wote wa Tanzania,Sehemu korofi korofi na Bado walikua pamoja mpk kifo Hawa watu walipendana sana
Much respect bro
 
Matibabu ni zaidi ya Starehe mkuu, usiseme hivyo kabisa. Kumbuka kwenye Starehe unatumia wakati huo huo unaingiza. Unapopata maradhi huingizi kitu bali unatoa tu.
Hata wewe ukiumwa kufikia mwezi 1 tu maisha yako yanabadilika.

Tumemuona hapa Prof Jay, kama sio huruma ya Mama Samia ilikuwa anarudisha jezi mapema sana, alikosa pesa za matibabu ya uhakika na watu walichanga lkn mpka pale Rais alipotoa tangazo la kumgharamikia.

Ugonjwa sio starehe ndugu yangu. Usitukane watu wala kukashifu kisa amefariki na hakuwa na hela za matibabu, hadi anapatwa na umauti unajua alitumia kiasi gani kwa matibabu achilia mbali huduma zingine muhimu?

Tuache Dharau, sisi ni Binadamu tu. Pumzi yako isikufanye kuwaona waliotangulia mbele za haki kama wazembe.
Watu huwa wanaongea kwasababu wana mdomo.... Maradhi uyasikiege kwa watu tu... Mtu wako wa karibu akiumwa siriaz mwezi mmoja huwa ni wachache sana wanamudu....
 
Kuna zile Shisha za kielectronic.. kama vipeni hivi, kuna Ex wangu namuangaliaga sana status zake namsubiria tu.

Wazee.. kabla ya kuoa hawa wanawake unapeleka kuwachunguza MAPAFU na Via vya Uzazi.
😁😁😁
 
Back
Top Bottom