TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Sijui nazeeka au vipi, huyu Dada nimemjuwa akiwa anaumwa anaombewa michango, sikuwahi kumsikia.

Kweli kuna marehemu maarufu na kuna wanaoishi na umaarufu mfano DJ Choka sijuwagi umaarufu wake ulitokana na nini, sionagi la maana alilokuwa anafanya.
Wajinga ni wengi sana ushasema mtu anaitwa DJ choka harafu hujui umaarufu umetokana na nini au ndo hujui DJ ni kitu gani?
 
Kuna mambo mengine binadamu tuna ya fanya mpaka unajiuliza kwann tuna ya fanya?
Haya maisha ni bora kuonekana mshamba, tujaribu kuishi natural hivi vitu ambavyo sio vya lazima hatuwezi kuvimaliza.
 
[emoji123][emoji123]
 
Sijui nazeeka au vipi, huyu Dada nimemjuwa akiwa anaumwa anaombewa michango, sikuwahi kumsikia.

Kweli kuna marehemu maarufu na kuna wanaoishi na umaarufu mfano DJ Choka sijuwagi umaarufu wake ulitokana na nini, sionagi la maana alilokuwa anafanya.
Hahahahaha,kwa huyu hata mie ndio nimemsikia kafa , kwa Dj Choka huyu yeye alikuaga na blogu maarufu ya Djcho.blogspot na pia alikua dj wa baadhi ya wasanii na dj wa kualikwa ktk shows
 
Bosi Ruge tu kipindi anaumwa hali ilikuwa tete mpaka familia ikaomba mchango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…