TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Kwamba wewe hutokufa? Pumzi isikudanganye, Kifo ni ukumbusho kwa sie tulio hai, kumwambia Marehem akome kwa kufa ili hali nawe ni marehemu mtarajiwa jitafakari utu wako, huenda kifo chako wewe kikawa cha kidhalili kheir yake amefia hospital pengine huku kazungukwa na wapendwa wake.

Innalillah wainna illah raji'un.
Msamehe bure bangi Hizo
 
Duh!

Hichi kijiko
Unakiona, baada ya kula kwa mkono!

Ndoms unaiona, ukishafanya ngono,

Niko active kwenye mtandao wa Jf tu!

Na leo ndio nimemjua kupitia humu, na nimemjua akiwa tayari amekufa!!! So sad...

Ntatafuta japo nyimbo yake 1 niisikilize...

So sad.... unamfamu mtu kuwa alikuwa mtu fulani... Huku tayari akiwa ni marehemu!....

R. I. P Haitham
 

Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha.

Hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake.

Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zilizogharimu shilingi laki 7 kwa siku.


Covid bado ipo na kama huja chanja bado inaweza kukuondoa hasa kama una kisukari, pumu au matatizo ya moyo
 
Back
Top Bottom