Mungu anasaidia mkuu. Hapa tunaendelea kuweka griss, mchakato wakuregeza vyuma. Nilikumiss sana mkuu.Asante sana mkuu
Za siku ni nzur sana kiongoz wangu vp home wife na watoto wazima kweli
Hahaaa siwez kulima mkuuKama ndo kwa nyimbo zako ulizokuwa unanisikilizisha siku ile hautatoka kimziki njoo tulime tu mkuu.
By the way heri ya christmass na mwaka mpya.
Kweli mkuu vyuma vikikaza kilichopo ni kuweka griss tu kiongozMungu anasaidia mkuu. Hapa tunaendelea kuweka griss, mchakato wakuregeza vyuma. Nilikumiss sana mkuu.
Nakumbuka siku ile ya ban mbitiyaza alikwambia kuw utapigwa banKweli mkuu vyuma vikikaza kilichopo ni kuweka griss tu kiongoz
Majukumu yalibana kidogo afu kuna kipindi nilipigwa ban ya week moja hivyo sikuwa hewan kwa mda