Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC
BqLcJJGCYAAC_9d.jpeg


Pia ni mwana jamiforum anawatakia kheri ta krismas na mwaka mpya

Beira ambaye ngoma yake ya kwanza itatoka tarehe 5 mwez wa kwanza na itatambulishwa na boss wake hamisa mobeto audio itatambulishwa clouds na video itatambulishwa EATV kwa samisago

NAWATAKIA KHER YA KRISMAS NA MWAKA MPYA

LONDON BOY
 
Msanii wa Bongo fleva
Tuwekee hata single 2 tu tukusikie Beira.

Nawe pia Christmas njema.
 
Mungu anasaidia mkuu. Hapa tunaendelea kuweka griss, mchakato wakuregeza vyuma. Nilikumiss sana mkuu.
Kweli mkuu vyuma vikikaza kilichopo ni kuweka griss tu kiongoz

Majukumu yalibana kidogo afu kuna kipindi nilipigwa ban ya week moja hivyo sikuwa hewan kwa mda
 
Msanii wa Bongo fleva
Tuwekee hata single 2 tu tukusikie Beira.

Nawe pia Christmas njema.
Mkuu moja naiachia tarehe 5 mwez wa kwanza

Ni ngoma moja kali hatar
 
Back
Top Bottom