Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Hapana mkuu usiseme hivyo kuna watu kama akina maneno wanasimamia wasanii wakubwa lakin hawawez kujisimamia wenyewe

Alikiba anajisimamia mwenyewe lakin kashindwa kumsimamia mdogo wake abdu kiba


Nimekuelewa ila nakuuliza, ulishawahi ona mtu asiyejitambua akasimamia wengine?
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC View attachment 657976

Pia ni mwana jamiforum anawatakia kheri ta krismas na mwaka mpya

Beira ambaye ngoma yake ya kwanza itatoka tarehe 5 mwez wa kwanza na itatambulishwa na boss wake hamisa mobeto audio itatambulishwa clouds na video itatambulishwa EATV kwa samisago

NAWATAKIA KHER YA KRISMAS NA MWAKA MPYA

LONDON BOY
Dogo unampango gani baada ya kufeli shule??
 
Back
Top Bottom