Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

yani ww jamaa nazani mpk magufuli atoke madarakani utaanza lokota makopo maana naona kichaa kinakuandama kwa kasi ya ajabu
 
Kwanini usiweke picha yako badala ya kuweka ya huyo unayemsingizia eti ndiyo meneja wako??
Yangu nitaiweka hapo tarehe tano nikiwa naichia single yangu mpya ambayo itaenda kuwashika maana ni kali baraa
 
kila kona wasanii. Hivi chato tukimtoa msanii wa kukaza misuli kwa hisia akiongea Maghu , kuna mwingine. ??
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC View attachment 657976

Pia ni mwana jamiforum anawatakia kheri ta krismas na mwaka mpya

Beira ambaye ngoma yake ya kwanza itatoka tarehe 5 mwez wa kwanza na itatambulishwa na boss wake hamisa mobeto audio itatambulishwa clouds na video itatambulishwa EATV kwa samisago

NAWATAKIA KHER YA KRISMAS NA MWAKA MPYA

LONDON BOY


Imekula kwako, eti unasimamiwa na Hamisa Mobeto.....basi umekwisha. Nasema hivyo kwani huyo Hamisa hajuwi kujisimamia yeye mwenyewe leo hii aje akusimamie wewe?
 
Imekula kwako, eti unasimamiwa na Hamisa Mobeto.....basi umekwisha. Nasema hivyo kwani huyo Hamisa hajuwi kujisimamia yeye mwenyewe leo hii aje akusimamie wewe?
Hapana mkuu usiseme hivyo kuna watu kama akina maneno wanasimamia wasanii wakubwa lakin hawawez kujisimamia wenyewe

Alikiba anajisimamia mwenyewe lakin kashindwa kumsimamia mdogo wake abdu kiba
 
Back
Top Bottom