Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Wakiambiwa wanawake niukiumbe cha starehe wanakuja juu juu kishenzi

[emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sababu unatutukana ngoja niseme tu.

Mbona wewe pia inajulikana unaliwa. Ni. Kiumbe cha starehe kwa wanaume wenzio.

Wewe Ikush Africa vijana wa kiume wakiomba msaada unasema utawasaidia ukipewa no ya simu unasema unawasaidia kwa makubaliano maalumu wakupakue.

Na pesa iko ya kutosha tu wadai.

Siku zingine usitutukane wanawake hadharani msgs zako ninazo huwa nimekusitiri tu lakini naona unatutukana wadada.
 
Mungu wangu tobaaaaaaaaah makubwa haya lol, hebu nipenyezeee huo ubuyu mam kubwa. Uwiiiiiiiiih
 
Anatukana kumbe vile sie ni competitor wake.
 
Mungu wangu tobaaaaaaaaah makubwa haya lol, hebu nipenyezeee huo ubuyu mam kubwa. Uwiiiiiiiiih
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mimi sina tatizo katika hilo ni mwili wake maamuzi yake sijui ilikuwaje mpaka akafika huko.

Lakini pale unapoita wanawake chombo cha starehe ilihali na wewe unaililia hiyo starehe hapo ndo kubaya.
 
Ni kweli, ila naomba ni pm na mie nione jamoon mmmmh. Plz naomba lol
 
Reactions: amu
Na huwa Ana shombo Sana kwa jinsia ke kumbe anaona Kama tunampunguzia attention,, wivu na chuki kumbe anazo sababu zake nyuma ya pazia,, 🀣🀣🀣🀣dunia iko speed sana
 
Reactions: amu
Na huwa Ana shombo Sana kwa jinsia ke kumbe anaona Kama tunampunguzia attention,, wivu na chuki kumbe anazo sababu zake nyuma ya pazia,, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dunia iko speed sana
Sana.
Kila siku nasema wanaume wenye shombo humu kwa jinsia ke wana matatizo makubwa sana.

Gentleman na anayejua nafasi ya wamama na wanawake kwenye jamii hawawezi kukebehi mwanamke.

Huyu jamaa ishu yake nimeipata siku nyingi sana hata sikuwa na mpango nae ila kanikera na hiyo kauli yake.
 
Eeh kumbe[emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweeee mweee wajameni kumbe loop[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] uwiiii
 
Ni aibu Sana wanaume wa kizazi hiki
 
Rip Sanctus alinipa tenda vya kumfundisha huyu bi dada utangazaji, nikataka kujiweka, nikakuta ni yeye anavuta ile Range Sport ya Mtsimbe, hivyo nikaogopa hata kujaribu!.
P
 
Kazi nyingine yataka moyo
P
 
Dah!.... mzuri sana aiseee.

Ila bado haiwezi kuhalalisha wewe kuanguka dhambini.

Yakupasa uzishinde tamaa za kimwili.
 
We dada we, mstiri jamani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…