Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

naomba uwepo msibani dia ili uweze kutoa wasifu wa marehem kwa niaba ya jf kwa jins tulivyomfaham

Hapana watakuwepo wengine mme wangu Redlum ntakua namhudumia siwez muachaa, watakuwepoo wengine watatoaa
 
Last edited by a moderator:

Kwani Ray na yeye hajajenga?
 
Lakin hapana mbona nilionaga kwenye kideo Wema Sepetu amenunua nyumba ya Million 400 fedha za Kitanzania..

Inaonekana muvi zake zinauzika sana hadi akaweza kumiliki nyumba ya bei hiyo na kampuni juu!
Itakua inategemea msanii na msanii

Usichanganye mambo aise......upande wa waigizaji wa jinsia Me kwa kweli wanabaki na mtihani wa kuzichanga.

Ila kwa wenzao kama kina Wema, Lulu, Aunty, Uwoya, Wolper wakitoa muvi zinanunuliwa kwa mtindo wa mnada...wanunuzi ndio kama kina Clemente, Dallas, Hon Bushbaby na msururu wa wadau wengine weeeengi wadogo wadogo.....

Kama umeshaona kule mamtoni, kwa mfano wakifanya mnada wa jacket la Michael Jackson alafu mtu anapanda dau.
 

Du unaenda msibani au unaenda kuulizia kua alikua ananyumba na alioa au hakuoa?
 

Hahah nakusoma vizuri mkuu sema nilitaka ligi ndo mana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…