Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu yeye alikuwa msanii wa nini?
Dah adamu katutoka. Polen familia, polen jerusalem film hasa jb, polen wasanii wote na watz wote. Bwana ametoa na ....
picha hiyo ya janeth rite akiwa na marehemu kuambiana,
Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi ni nani?
nilimuona kuambiana kwenye mkutano mmoja wa jangwani ulikuwa wa chadema mwaka 2010Kumbe alikuwa shemeji wa ukawa
Kwa hiyo, ,,,,, ,,,
Mmmh, ngoja tubaki huku huku kwanza kwa hawa wasanii wetu wa kiume, nijuavyo mimi ma producer ndo wana uwezo kiasi wa kifedha in such a way hata wakijitutumua kujenga kibanda wanaweza kwa kweli, sema wengi wao sio wavumilivu na hawana matumiz mazuri ya kifedha, msanii kama ray anamilik gar la zaid ya tsh mil 40, sasa apo akisema ajitutumue kununua kiwanja na kujenga kibanda taratibu anaweza, maana ki ukweli ma producer wana unafuu kifedha kuliko wasanii wa kawaida, hawa wasanii hawana kitu kabisa show off za bure tu, ma producer mil kumi au ishirin wanazishika sana tu in such a way hata wakiamua kujenga wanaweza, maana karibia ma producer wote wanamilik magar ya thaman isiyopungua million kumi so wakiamua kujenga wanaweza
Kafiri yukoje mzee??
Lakin hapana mbona nilionaga kwenye kideo Wema Sepetu amenunua nyumba ya Million 400 fedha za Kitanzania..
Inaonekana muvi zake zinauzika sana hadi akaweza kumiliki nyumba ya bei hiyo na kampuni juu!
Itakua inategemea msanii na msanii
Ndo naelekea kwenye tukio aiseeh Ruttashobolwa, Dinazarde, TATIANA, snipa, Heaven on Earth, geniveros, lusungo, Evelyn Salt, qn of sheba, matumbo, Stanley Mitchell, miss strong, Mrembo by Nature
Umbea wa huyu jamaa ni mrefu , kwa kuwa ameshatangulia mbele ya haki , si vyema kumchumba sana, ila nakumbuka kuna kipindi alishawahi kuishi kunduchi , alikuwa anaoenakana viwanja vya uko mara nyingi tu ,na alikuwa akiishi na kimada ila badae akahama na hakujulikana alikuwa akiishi wapi had mauti ilipomkuta, ila niliwahi kusikia ana mke na watoto , ila badae ndo ntaenda ku confirm yote kwenye eneo la tukio pamoja na hyo nyumba inayosemekana ni yake iliyopo bunju b
Usichanganye mambo aise......upande wa waigizaji wa jinsia Me kwa kweli wanabaki na mtihani wa kuzichanga.
Ila kwa wenzao kama kina Wema, Lulu, Aunty, Uwoya, Wolper wakitoa muvi zinanunuliwa kwa mtindo wa mnada...wanunuzi ndio kama kina Clemente, Dallas, Hon Bushbaby na msururu wa wadau wengine weeeengi wadogo wadogo.....
Kama umeshaona kule mamtoni, kwa mfano wakifanya mnada wa jacket la Michael Jackson alafu mtu anapanda dau.
Sawa kabisa.......tunasubiri taarifa
Ndo naelekea kwenye tukio aiseeh Ruttashobolwa, Dinazarde, TATIANA, snipa, Heaven on Earth, geniveros, lusungo, Evelyn Salt, qn of sheba, matumbo, Stanley Mitchell, miss strong, Mrembo by Nature
Utupe updates na ambao wamesusia msiba ni wakina nani maana najua hawakosekani