Ray kigosi ndio nani?
Ni kweli amefariki maiti ipo hospital kwa Dr ngoma
Mwenzangu acha tu tutakwisha,mchepuko wake ulishatangulia mbele ya haki RIP Diana Aston Villa.Na huyu steve alipatwa na majipu acha kabisa,mkewe alijifungua mtoto baadae mtoto alifariki,SUB SAHARAN tutakwisha!Mungu atusaidie tuache kuchepukakumbe anayo?
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!
Nilikua napenda sauti yake RIP Adam jaman kina Wema watazabwa makofi na nani sasa
Mi ntahesabu watakaozimia msibaniiwq
Uliwahi kumsakama jamaa anaiba vijiko, sabuni hadi vikombe!..hiyo sauti yake nzuri naona inatajwa akiwa amekufa
Kumbe mazuri pia alikuwa nayo,nimesoma ule uzi wote,hakuna aliyemsifia kuwa alikuwa na sauti nzuri.Binafsi sijawahi ona movie yake hata moja.RIP AdamAlisemwa wakat yupo hai, sasa ivi ni marehemu
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!
Anhaaa! kumbeeeeeee.
Mwenzangu acha tu tutakwisha,mchepuko wake ulishatangulia mbele ya haki RIP Diana Aston Villa.Na huyu steve alipatwa na majipu acha kabisa,mkewe alijifungua mtoto baadae mtoto alifariki,SUB SAHARAN tutakwisha!Mungu atusaidie tuache kuchepuka

Duh diana atafuatwa na wengi maana Mr.Nice mzazi mwenzie nae anabanjuka na kina kabula
Duh! RIP Adam, Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.