Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

nipo hapa hispitalini ndio nimefika naona watu kibao...Apumzike Kwa Amani
 
SIO AJAL YA GAR ...NI ALIKUWA LOCATION SKANDONDOKA.

CHANZO:masainyotambovu.com
 
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

Maiti Mpaka Sasa Bado ipo hapa tunajadiliana wasanii na ndugu msiba uwe wapi Kati ya sehemu hizi mbili Yaani mtoni na Tabata.....
 
Attachments

  • 1400317243103.jpg
    1400317243103.jpg
    74.2 KB · Views: 1,591
Jamani nimeona kwenye instagram ya irene uwoya kaweka picha yake na ya adam kuambiana na kichwa cha habari R.I.P my daddy ni kweli huyu jamaa amekufa au fununu tu? Mwenye Taarifa Zaidi atujuze .....
 
Adam Kuambiana ni kweli amefariki. Lakini sio ajali ya gari. Amekutwa ameanguka hotelini maeneo ya sinza. Inasemekana alikuwa anaumwa. Sasa sijui alijidunga na matungi wakati ana madozi au labda he was druged. Lkn alipowahishwa kwa mama Ngoma alikutwa ameshafariki.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

MWIGIZAJI Adam Kuambiana amefariki
dunia wakati akipelekwa hospitali ya
Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es
Salaam kwa matibabu . Marehemu
ameanguka chooni akiwa location katika
hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa
Remy , Dar . Kabla ya mauti kumfika , Adam
alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa
na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN !... HABARI NLIZOPATA MIMI MBNA UNASEMA AJALI, VIPI HAPO?
 
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

Muongo wewe hakuna ajali sukari ndio imemuuwa
 
Rest in peace Adam....
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    44 KB · Views: 1,416
nami nimeona kwa zamaradi aende anapostahili Mungu awape faraja wafiwa wote!
 
Masahihisho ya taarifa hii ya msiba wa Adam Philip kuambiana
Kumradhi Adam Philip kuambiana amefariki baada ya kudondoka location na kukimbizwa kwa Dr ngoma ili kuokoa maisha yako ndipo mauti yalipomkuta....na sio ajali kama nilivyoandika... Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu Adam Philip kuambiana amen
 
Back
Top Bottom