Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

Boda Boda sipandi na ikitokea nimepanda huwa dereva anakaa nyuma "naendesha mwenyewe" Hutaki Basi.
Yaani upo Kama Mimi, daladala huwa sipandi, na ikitokea nimepanda huwa dereva lazima anipishe seat niendeshe mwenyewe
 
Kumbe alikuwa anawawahi Wasani wenzake waende dodoma kwenye ufunguzi wa kampeni ccm
Dah pole dude

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
didnt know if he is a kada i can see you hate ccm from the bottom of your heart
Screenshot 2020-08-28 at 19.40.22.png
Screenshot 2020-08-28 at 19.39.45.png

Takataka hiyo...afee kabisa...mbuzi wahed
 
Msanii mkubwa anatembea na bodaboda? ALishindwa kuita Ubber? Pole kwake ,Bodaboda sio usafiri salama kwa mijini.
Mo mwenyew anapandaga bodaboda.uskariri wew...mi mwenyew kuna muda huwa napanda bodaboda
 
Mnaongea tu nyie hamjui Haraka,na kingne ajali hata uwe umekaa nyumban utapata ajali tu mazee,kuna jamaa alikuwa mshona viatu kimara barut kakaa tu pemben ya barabara contena la lori likamuangukia,jamaa miguu yote ikapooza,ajali haina kinga hata angekuwa na gar usikute angepata ajali TUACHENI KUTOA LAWAMA et msanii kubwa kapanda boda boda

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mwaka gani ilikuwa? Pale baruti nimewahi ishi
 
Mke Wanangu ndio nishapiga marufuku ya Herufi kubwa kupanda Bajaji + boda boda

Tangu nishuhudie vile vibajaji vya njano vya manzese kimoja kimefinywa kimekua chapati

dereva mpk abria wake hamna alieweza omba hata maji,kibajaji cha njano ila kiligeuka kikawa RED

Kama mtu kaenda kuibadlisha rangi,pale ndio nikajua kumbe tuna risk sana haya maisha yetu kwa kujitia tuna haraka.

✌🏻✌🏻🤓🤓
 
Sasa mkubwa kwakua magari, ndege na zenyeqe zinapata ajali na kufinyangwa, umewapiga marufuku kutumia hivyo vyombo pia?
 
Back
Top Bottom