Ajali ni Ajali ila ajali ya lori kusinya bajaji sio AJALI hiyo ni one way ticket to aheraSasa mkubwa kwakua magari, ndege na zenyeqe zinapata ajali na kufinyangwa, umewapiga marufuku kutumia hivyo vyombo pia?
mimi sitaniii mkuu,kwenye pikipiki siendeshwi na mtu na ninapokua ugenini sehemu..Mie naendeleza tu utani uliouanzisha wewe mkuu.
Elewa kilichoandikwa ,"Usafiri wa boda boda ni hatari sana kwa mijini ,msanii mkubwa ameshindwa kuita Ubber"? Issue za MO kupanda Bodaboda elewa kwamba yupo kwa ajili ya kupiga picha na kutangaza biashara yake ,wakati MO anapiga picha Vogue yake ipo pembeni inamsubiri apige picha kwenye bodaboda kisha ashuke aingine kwenye Vogue.Mo mwenyew anapandaga bodaboda.uskariri wew...mi mwenyew kuna muda huwa napanda bodaboda
Ni kweli mkuu ila ni hatari sana ,kama ukiwa na Emergency basi shurti umwambie Dereva apite road ambayo haina traffic kubwa.....Kwa mfano upo Magomeni na unataka kwenda Kawe basi hauna budi kupita njia ya Ndungumbi/Magombeni Kota kisha kutokea Tandale then Africa Sana unakuja sayansi then unaingia Chocho la kwenda TCU then Mikocheni unakula chocho la kwa mwinyi unakuja kutokea AAR then unakula Chocho unakuja kutokea Chuo cha TRA then unakula Chocho unakuja kutokea Clouds then Maringo kawe.Bodaboda haikwepi kwa mjini kama unawahi mahali
Utapanda tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
👊👊Boda boda hatari sana.. roho mkonono.. juzi hapo hapo magomeni boda boda kagongwa na mwendokasi kafa
Ushauri tusipende sana kupanda boda boda kila mara..