my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mapenzi ya kweli bado yapo.Kipenda roho-Remy Ongala alikuwa yupo sahihi.
Before ya valentine. Kwan una theory gan mpk umeuliza hlo swali πYaan wamepata mtt siku ya Valentine! Au ni before that?
Whhhyy?Sisi wanaume wote lazima tuende mbinguni.
Nikasema kwakuwa niwapenda nao naona kuna uhuhimu sana wawao kisheherekea hii Valentine's Day wangepata mtt leo π Kumbe sio leo watulie tu wasitusumbue ss.Before ya valentine. Kwan una theory gan mpk umeuliza hlo swali π
Mtoto amezaliwa tangu januaryYaan wamepata mtt siku ya Valentine! Au ni before that?
kwao wote wapo ivyo ivyo kuna mdogo wake kiume yupo chuo kikuu nae yupo ivyo ivyo.Msanii mfupi Tanzania amepata mtoto. Mtoto amefanana na baba yake. Hongera kwake. Mungu amkuze mtoto [emoji120][emoji120]